Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.
Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.
Mbali na hayo pia CCTV video clips zipo zikimuonesha anavamia studio za Clouds. Na hata Serikali ya Marekani ilisema kuwa mtu huyu anadhulumu haki ya watu kuishi (anaua), mpaka ikampiga marufuku kukanyaga nchini kwao
Halafu kuna wajinga wanamsifia Rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.