Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Mbali na hayo pia CCTV video clips zipo zikimuonesha anavamia studio za Clouds. Na hata Serikali ya Marekani ilisema kuwa mtu huyu anadhulumu haki ya watu kuishi (anaua), mpaka ikampiga marufuku kukanyaga nchini kwao

Halafu kuna wajinga wanamsifia Rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Hao wote ni CCM.Unategemea nini hapo?Na ndiyo maana wanajitahidi by hooks and flukes zenye crooks wabaki madarakani.Wakitoka tu,Segerea bin Segedansee inawaita.
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Ulitaka afanyeje? Au wewe ni Gekul kwa jina khuntha? Wacha unafiki.
 
Huyu alikuwa Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, awe na tuhuma kama hizo nani ataweza kumshawishi nani afuate sheria??

Ukiwa kiongozi unatakiwa ukae mbali na even harufu ya uovu, Gekul kachemka!!

Hilo tu!! Hampaswi kumlinganisha na Makonda licha ya tawala kuwa tofauti kabisa!!
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Uovu wa Makonda ni minong'ono tu ya mitandaoni, hakuna mtu aliyejitokeza mbele ya hadhara akaja na ushahidi wa unyama wake ule wenye kujitosheleza.

Huyo Gekul kila kitu kipo wazi kabisa, na sijui alikuwa anafikiria nini kumfanyia yule kijana aina ile ya unyama!.
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Mwaga ushahidi hapa,ata Sabaya mlimnanga,kashitakiwa mmeshindwa kutoa ushahidi Mahakamani!
Gekul kila kitu kipo wazi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu.

Ushahidi uko wazi kabisa: Lisu kamtaja hadharani, mwandishi w magazeti ya Mwanahalisi kafungua mpk kesi lkn ikazimwa na serikali, Manara kaandika hadharani tuhuma za Makonda za uporaji wa nyumba ya GSM.

Halafu kuna wajinga wanamsifia rais kwa maamuzi ya kinafiki dhidi ya Gekul.
Meza mate ulale
 
Una ushahidi kama wa gekul? Au mnaropoka tu,Lissu hana ushahidi ni wale wapayukaji wa hasira anashtukia kila mtu ila hana pa kuanzia
Ile video clip ina ushahidi gani? Hata mimi naweza nikaiandaa. Nikamrekodi kijana atoe shutuma kali dhidi ya waziri mkuu halafu nikaisambaza kwa maslahi binafsi. Tunataka uchunguzi ufanyike ili hizo tuhuma zithibitike na ikiwa ni kweli achukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom