tahausi mpya kwa wale wanaoanza kidato cha tano 2013

KALEBE

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
773
338
wizara ya elimu imeanzisha michepuo mipya katika shule za secondary hapa nchini moja ya michepuo hiyo ni CPA kwa kirefu ni chemistry, physics, na accountancy source mkurugenzi wa elimu secondary tanzania
 
mkuu ahsante kwa taarifa,hebu nipatie hiyo source niitumie kidogo!
 
Ni kweli kuna michepuo mipya, hata wanafunzi waliomba katika machaguo ya shule. Ila inaanza kwa shule chache sana za serikali. Japokuwa nimeisahau, ila sina imani kama kuna CPA. Ninachokumbuka, somo la Uchumi (Economics) limeunganishwa na baadhi ya masomo ya sayansi.
 
Ni kweli kwasababu hizo combination tumezijaza kwenye machaguo kipindi tunamaliza form 4 mwakajana kwahiyo tutaanza kuzisoma mwaka huu
 
Hiyo habari ya combination wekeni pembeni jamani, kwanza tujiulize hizo shule zenyewe tunaenda lini, mbona hii serikali sikivu inatuchosha jaman.
 
michepuo mipya ilitangazwa mwaka jana kwa wakuu wa mashule wote, mmoja wapo n CBM, bt huo wa CPA haukuwepo kabsaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom