Tahadhari kwa wanawake walioolewa

hivi wababa bado wanataka kupewa chai mkononi siku hizi.... asubuhi maji yamechemshwa yako mezani kila akitaka chai atakunywa mezani muda wowote atakao, tushapita huko siku huzi...wacha tamaa zenu ziwamalize
 
Je mlishawahi kujiuliza ni kwa nini ma-house girl huwavutia waume zenu kuliko nyie wake zao?

Nyie wanawake ndio wa kujilaumu kwa sababu tatizo liko kwenu na sio kwao wala kwa waume zenu…………………

Najua hapo pua zimewasimama kwa kutaka kubisha……………….. Lakini leo Mtambuzi mtanitambua maana nataka niwafunde……

Ni hivi:

House girl hufanya kazi nyingi kuliko muolewaji……….. najua mtadai kuwa huo ni wajibu wao kwa sababu ya kijimshahara cha elfu thelathini mnachowalipa……lol…….. amkeni nyie acheni ujinga wajibikeni ili mlinde ndoa zenu. Mwanaume hutazama nani anawajibika ndani ya nyumba kuliko mwingine………. Yaani hata chai ya jioni ya mumeo atayarishe house girl? Mwanaume hupenda mtu anaye m-handle na kum-care kwa kila jambo, na hata kama wewe hufanyi, basi fuatilia kuhakikisha linafanyika kwa usahihi.

Hebu angalia ujinga mwingine mnaofanya…….. mnawazuia ma-house girl wenu wasiende kwa mabwana zao kumaliza ashiki zao za kimwili…….. wapeni nafasi nao wafurahishe miili na akili zao! Wasipochangamsha miili yao na mabwana zao ni rahisi kujirahisisha kwa waume zenu na waume zenu wakionja tu hawataacha maana hupata ladha ambayo nyie hamna…..lol …………….. na mkiwakatia tiketi kuwarudisha makwao waume zenu watawapa nauli ya kurudia………. Kwani hamjui kwamba, muonja asali haonji mara moja? Na wakirudi hupangishiwa mahali pa kukaa na mchezo unaendelea.

Jamani hebu amkeni, mie nimechoka kusikia hizi kesi mnazolalamika kila uchao kuwa mnazidiwa kete na ma- house girl……………
Sikukuu njema

Nazidi kupata ilmu ya kuelekea ukubwani
 
Sitegemei kujiuliza swali kama hilo, kama ningekuwa najaza fomu ningeandika NA
 
hivi wababa bado wanataka kupewa chai mkononi siku hizi.... asubuhi maji yamechemshwa yako mezani kila akitaka chai atakunywa mezani muda wowote atakao, tushapita huko siku huzi...wacha tamaa zenu ziwamalize

Nadhani hao maiwaifu wao watakuwa wamama wanyumbani, na kama si mama nyumbani ni wa ofisini basi atakuwa anachelewa kazini kila siku so kibarua kiko hatarini labda kama anaelewana na boss wa kiume, na kama ni business woman basi biashara yake itakuwa imedorora sana.

Na ninamalizia kwa kusema, mwisho wa siku performance yake kwenye 6x6 itakuwapoor maana atakuwa amechoshwa na pilika pilika za toka asubuhi...
 
Hapo ndo umegongelea msumari. Maana ni trade off; niwe busy ikifika kitandani nijibwage kama gunia au niperform vyema 6X6; tuendelee na mgawanyo wa kazi; za housegirl afanye housegirl za mke afanye mke? Wanadhani wanawake ni robot; mwanaume mmetoka wote Job saa mbili usiku afu uanze kukimbizana ulale saa sita afu nae anasubili mgao wake; inahu. Wala sijichoshi na uzuri wa kwangu wala hataki my wife wake nichoke. lol.

NK bana,be real,yaani mzee mgao ni kwa weekend hadi weekend? Mid week ni kujibwaga kitandani eti umechoka?umekuwa umeme wa ngeleja?
 
Bishanga bana huwa nakukubali sana kwa ma maswali yako ya mtego!
 
afadhali umepanua uwigo kwa maana naona watu wamezama kwenye sababu za nguvu kazi tuu.
hebu tuangalie na sababu nyingine mfano tabia (dharau za waziwazi tena mbele hg, gubu, madam naye kuwa[
na something pembeni na hg akjua hiyo siri, kumsema vibaya mumeo wakati hayupo kwa hg au marafiki mbele ya hg,
usafi n.k) hivi vyote vinachangia kwa namna moja au nyingine kumfanya hg kumuonea "huruma" jamaa atakapomtokea.

vingine ni shutuma zisizokweli (wivu) kwmba jamaa anaanza kumtamani hg hii inapandikiza mbegu ya jamaa kuanza
kuona vile ambavyo alikuwa havioni kwa hg. masuala ya 6x6 (hii ni kote kote yaani inawezekana madam mvivu au
ni fundi na humshutumu mzee kwambaa hamfikishi hivyo jamaa anatafuta uhalali wa kuthibitisha kama ni kweli
au au wife anamambo yake hivyo jamaa kuvuta mtu aliye karibu n.k.)

hata hivyo pia lipo moja limetajwa hapo juu na mchangiaji nadhani ashadii au nyumba kubwa, nalo ni nafasi. yaani
kumuacha fisi buchani na uhuru woote lazima ataleta madhara.

hata hivyo mlafi ni mlafi tu mwanamama anaweza jitahidi sana lakini jamaa haoni anaishia kuangusha hg au mtu wa karibu
la kujifari labda mwanamama anaweza sema "mmh, nimejitahidi lakini imeshindikana"
Nadhani hao maiwaifu wao watakuwa wamama wanyumbani, na kama si mama nyumbani ni wa ofisini basi atakuwa anachelewa kazini kila siku so kibarua kiko hatarini labda kama anaelewana na boss wa kiume, na kama ni business woman basi biashara yake itakuwa imedorora sana.

Na ninamalizia kwa kusema, mwisho wa siku performance yake kwenye 6x6 itakuwapoor maana atakuwa amechoshwa na pilika pilika za toka asubuhi...
 
hivi wababa bado wanataka kupewa chai mkononi siku hizi.... asubuhi maji yamechemshwa yako mezani kila akitaka chai atakunywa mezani muda wowote atakao, tushapita huko siku huzi...wacha tamaa zenu ziwamalize
Gaga Gaga Gaga pliiiiiizzzz hii ndoa unayoizungumzia hapa ni ndoa ipi? Ni ya bishanga na mama bishanga au unazungumzia ya beckham na viktoria? With attitude kama hii ya kwako ndoa ya kibongo itadumu hata wiki moja kweli?
 
Bishanga bana huwa nakukubali sana kwa ma maswali yako ya mtego!
kusema kweli wanawake mimi huwa siwaelewi ndugu yangu,tatizo ni kwamba we can not live without them,lakini ukweli hawa viumbe ni pasua kichwa.
 
Bishanga to be hornest,wanawake kweli ni pasua kichwa,ukiwa mpole atataka ufue mpaka nguo,ukiwa mkali anadai unamnyanyasa,siwaelewi hawa viumbe kabisa ndo maana tukaambiwa tuishi nao kwa akili!
 
Ukitaka kutunzwa hivyo,kwanini huoi mwanamke asiye na kazi? Ili Kazi yake iwe kukutunza na kukutendea hayo utakayo?
Tatizo mtu mwenye dhambi yake anapotaka kuihalalisha hutafuta sababu zooooooote duniani. maana kama ni kweli mkeo hakupikii chai,hakuwekei maji ya kuoga,kwanini humtaliki badala yake unatembea na HG kwa kificho? Kama kweli umeona HG ni bora zaidi ya mkeo, halalisha, mtaliki mkeo mwoe HG.
 
me nimeolewa.
Kwanza kabisa housegal ni kama binti katika familia anayofanya kazi.kiukweli jiulizei aliotoka hadi akaingia ndani kwako amefuata nini? kama mama siwezi kumruhusu binti yangu atembee na wanaume eti kumaliza ashki,JIULIZE angekuwa binti yako yakumzaa ungekubali mtu anaemlea amfanyie hivyo? Leo hii kesho wazazi wake wakisiki habari kama hii itakuwaje? Kama house gal anatakiwa kujua kilichomleta maana hata alipotokoa mb... kaziaacha kibao si lazima ya mume wangu. Na je, kabla hajaja tulidiscuss vp hadi tukaamua tulete house gal?is it ili alale naye?

Pili, mume wangu hana sababu yakulala na binti wa kazi eti kwa sababu anafanya kazi kuliko mimi. Kama ni hivyo basi niache kazi nikae home kumreplace house gal Huuby ataagree na maisha yalovyo magumu nowadays?
Kutokana na ubize nlionao ila cwezi kumnyima K ni haki yake so anapoamua kulala na HG ni tamaa zake tu maana hata katika mizunguko yake ya kila siku anakutana na wangapi hadi leo hii aamue tu kulala na binti wa kazi ,HAPANA hizo ni tamaa zake tu za mwili.

Mwisho I speak from experience coz am in it,kama HG anatakiwa kujua mipaka yake n so my hubby n I.
 
Hapo red........need I say more??? I had decided that am done with this topic, but these words has made me say NAUNGA MKONO HOJA!!!

Cha kuongezea tu in bold.......KINA BABA MJIHESHIMU coz mnajua kabisa mipaka yenu ni ipi!!!
 
Back
Top Bottom