Tahadhari kwa wanawake walioolewa

Mbona wanaume hawa wanataka kututia wazimu; sasa mtu uweke house boy eti kisa mumeo asipate vishawishi; at the same time ma house boy these days wanabaka watoto si wa kike wala wa kiume (cameroon style)

Sasa mama chagua lipi bora; house girl atembee na mumeo (afterall mumeo kama ametembea na h/girl cheating ni ugonjwa wake hataacha) au house boy akuharibie watoto???
 
Natolea Mfano:

Chukulia unaishi na mumeo, alafu maybe kakake kaomba aishi hapo nyumbani for six months (labda mwajiweza na nafasi ni kubwa ya nyumba)... Ok basi kabla hajaondoka lazima aje kwa wewe shemeji yake na akuage, akuulize kama kuna kitu unahitaji, maybe akupe na pesa kua ongezea kwenye matumizi, atakukuta jikoni or sebuleni moving something - haraka saana anakukatisha kua hapana Shem let me do it, unanyosha anakuja na kukueleza lete za mdogo wangu nikusaidie, unapika unataka kwenda chota maji nje anakukatisha "hapana let me", unatoka na gari kwenda shopping anakuambia "subiri shem hili gari mbona sijaona mkecheck oil" nakadhalika..... Hivo MJ1 ni vitu vidogo saana but vya weigh kuliko tu lile jina kua ni Mme: of coz mara nyingi akina mama unaweza usifanye kitu but ukampenda kabisa kuliko mumeo....

MJ1 sijui ndo nimekoroga zaidi??

khaaaaa,....huyu shemeji nae vipi?

Mwisho wa siku what matters ni mumeo anapenda nini. Kuna wale wanaume (nawaita gubu style) hali chakula chochote mpaka wife apike.

Sisi wengine waume zetu ukikaa muda mrefu jikoni unanuniwa; they want to spend quality time with us.

Hence akili za mbayuwayu changanya na zako.

Lakini kama alivyosema mbu cheating ni cheating tu; wa kucheat ata cheat no matter what. Enjoy your marriage lives guys stop worrying too much!

kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?

Hapo kwenye mfano wa huyo kaka umenifanya niogope kwamba huyu kaka/shemeji anaweza kuleta mageuzi/mapinduzi. Hata sisi wanaume inabidi tujiangalie sana. Si wanawake tu
Shukran kwa mfano mzuri

...umeona ee? hahahah...dahhh amenitishia amani hata mimi huyo...
ndugu wa namna hiyo hafai kuishi na mimi.
 
unajua kuna kitu kimoja umejaaliwa kuwa nacho, labda mwenyewe hujui tu............... una utambuzi wa hali ya juu sana..
yaani nanufaika sana na michango yako humu jf...............
ahsante kwa kutupa ilmu ya bure..................

Mtambuzi I am short of words....

This post has been the first post in JF kunitoa machozi.
Ubarikiwe AshaDii.

For the first time it has made me wish ningekua nawe hapo nione machozi yako.... Hayo machozi yako yaniambie story the story behind.... One thing i am sure ni bittersweet, ningetamani nikuone na nikuulize "MJ1 you have a great heart but you seem to be always scared of Love... Why?" BUT then the way your eyes are now... the extent ya machozi yako sasa, the expression in your face would have told me everything.... MJ1 daima kumbatia Kupenda dearest.... Daima! Mradi usipende kujinga....

I am humbled dear na NASHUKURU you have told me for you would have kept quiet. Thank you.
 
Niliona nikiweka both sides of the coin itaeleweka vizuri zaidi.... Thanks for your constant acknowledgement Sherriff......

Dear MJ1 hii ni applicable kwa woote, nawashangaa saana wanaume ambao wapo comfortable na kuacha ulinzi wa wapenzi wao (ladies) kwa marafiki in the name ya kum-chunga.... Anakua amemkabidhi fisi bucha, just take note sio woote na kuna exceptions.
Hapa ndio ule usemi wa "Abiria chunga mzigo wako" una-apply
 
Nilidhani ni mume wangu tu ndo ana hiyo tabia; kweli napata tabu sana kufanya kazi za jikoni kwa kuwa he always want me by his side.

kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?
 
Nimependa michango yenu,na nimeona ni bora namimi niingie humo ndani,niwe mmoja wenu katika gurudumu la kusaidiana kuielimisha jamii kwa namna moja au nyingine.HONGERENI KWA KAZI NZURI SANA.Kuna mambo mengi yanayovutia humu,ila toka nimeanza kuingia kwenye JF,Zile sheria kumi za nyumba ndogo ni balaa
 
For the first time it has made me wish ningekua nawe hapo nione machozi yako.... Hayo machozi yako yaniambie story the story behind.... One thing i am sure ni bittersweet, ningetamani nikuone na nikuulize "MJ1 you have a great heart but you seem to be always scared of Love... Why?" BUT then the way your eyes are now... the extent ya machozi yako sasa, the expression in your face would have told me everything.... MJ1 daima kumbatia Kupenda dearest.... Daima! Mradi usipende kujinga....

I am humbled dear na NASHUKURU you have told me for you would have kept quiet. Thank you.

AshaDii........................acha tu!
Barikiwa
 
Hapo kwenye RED kunanifanya niwaze mengi...........Is this applicable kwa pande zote mbili? Kuwa wanaume nao wanapaswa kuangalia kuwa wanatufunga kamba na kuwa hawazilegezi?? Au hii ni kwa wanawake tu?? Au ndo mie kwa kuwa ni mke basi natakiwa niwa ndo mfunga kamba, niongeze mafundo na kuhakikisha haikatiki, hailegei ayiiiiiii ah mie jamani menopouse inakuja vibaya!

hhhahahhaha, ati menopause? acha visa bana..
mwj1....mke/mume ukimchunga sana atakuletea vituko mpaka uone june/july...(pepo za kusi na kaskazi)
Muhimu kujipenda mwenyewe, kwa umri wetu huu ukijitia kuubeba wazimu wa mwenzio unatafuta kujizeesha
tu.

chukulia mfano umelala chumbani na mumeo, ati saa nane za usiku unamsikia anajisogeza pembeni ya kitanda,
kisha huyoo ananyata....
skeletontiptoe.gif
...anafungua mlango wa chumba anatoka... unamsubiria weee, kumbe mwenzio kaenda chumba cha housegirl kupiga mbizi...utamlaumu? hakikisha akirudi mwambie akakoge janaba lake kwanza,
huna haja ya kugombana nae bana..."never argue with a fool" chizi sio lazima avae mfuko ya rambo kichwani.

vuta shuka ulale.
 
Nilidhani ni mume wangu tu ndo ana hiyo tabia; kweli napata tabu sana kufanya kazi za jikoni kwa kuwa he always want me by his side.

kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?

nyumba kubwa Da mkubwa wangu all I can say and beg you ni kuwa shika sana ulicho nacho, kienzi na kuappreciate kwa sababu what you've got Big Sisy its a Pearl..ni lulu mpendwa itunze na kuienzi am telling you.

Wewe ni kati ya wale wanawake mliozaliwa na Bahati zenu humu duniani, kumbuka kumshukuru MUNGU wako dada yangu
 
hhhahahhaha, ati menopause? acha visa bana..
mwj1....mke/mume ukimchunga sana atakuletea vituko mpaka uone june/july...(pepo za kusi na kaskazi)
Muhimu kujipenda mwenyewe, kwa umri wetu huu ukijitia kuubeba wazimu wa mwenzio unatafuta kujizeesha
tu.

chukulia mfano umelala chumbani na mumeo, ati saa nane za usiku unamsikia anajisogeza pembeni ya kitanda,
kisha huyoo ananyata....
skeletontiptoe.gif
...anafungua mlango wa chumba anatoka... unamsubiria weee, kumbe mwenzio kaenda chumba cha housegirl kupiga mbizi...utamlaumu? hakikisha akirudi mwambie akakoge janaba lake kwanza,
huna haja ya kugombana nae bana..."never argue with a fool" chizi sio lazima avae mfuko ya rambo kichwani.

vuta shuka ulale.
Darling..........and what about fukuto ulipatalo moyoni?! Kwa sababu tatizo si janaba peke yake, ni lile jeraha alokuachia baada ya hapo! ayiiii jamani kina baba please tuoneeni huruma jamani ah, kuwapenda isiwe kosa jamani ah!

Naomba niwaache kwelye hii mada, am not myself. samahanini!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kumbe mkoje?? Housegal ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine. Sasa kama kinachowapeleka kwa hao wanawake wengine ni tamaa, why mlete justification kwa housegal?? Semeni tu kwamba housegal mnakuwa mmesogezewa karibu alafu hana gharama saana kama huko kwingine (though baada ya mchezo kunoga ndo mnaamua kugaramia)!!! Narudia tena, {mianaume ndivyo mlivyo}
Huo ni ukweli mchungu!

Hili la kutembea na mahouse girl hasa katika nyakati hizi za HIV/AIDS limeleta maafa kwa baadhi ya familia. Kuna familia moja baba na watoto wake wa kiume wawili walitembea na house girl wao katika nyakati tofauti. Kwa bahati mbaya mama mwenye nyumba akaja kufariki (watu walisema kwa 'ngoma'!), mbaya zaidi baba akaamua kuoa huyo house girl...ni kisa ambacho kila nikikumbuka machozi huwa yananilengalenga!
 
wee binti mi siko hivyo!

Then agree to disagree, be fair na umkane mtambuzi kwa justifications zake!! Kubali kuwa wanaume wanaofanya hivo ni wapuuzi na wanyanyasaji!! So tukiajili mahause boy, na wenyewe mtawashikisha ukuta kwa sababu wanafanya kazi zote?? Ngoja niishie hapa nibakize comment nyingine!
 
Umesomeka Honey.

Hujalikoroga mpenzi. Umefafanua vizuri nimekuelewa. Aksante ayiii mie hizi makitu bana ah zinanikatisha tamaa ya kupenda kwa kweli ayii

wala usiogope mwanangu........... nakujua`wewe, unajua kuchagua wala huwezi kupata kicheche..............
 
...For the first time it has made me wish ningekua nawe hapo nione machozi yako.... Hayo machozi yako yaniambie story the story behind.... One thing i am sure ni bittersweet, ningetamani nikuone na nikuulize "MJ1 you have a great heart but you seem to be always scared of Love... Why?" BUT then the way your eyes are now... the extent ya machozi yako sasa, the expression in your face would have told me everything.... MJ1 daima kumbatia Kupenda dearest.... Daima! Mradi usipende kujinga....

I am humbled dear na NASHUKURU you have told me for you would have kept quiet. Thank you.

...Umeona ee? mwj1 aonekana kama ni mtu aliye delay grievances zake kwa muda mrefu, na sasa reality ina take place.
lia mama, it's ok to cry, na wala kulia sio alama ya udhaifu...acha machozi yakuchuruzike...umejaaliwa machozi yapoze machungu ya moyo...

Nilidhani ni mume wangu tu ndo ana hiyo tabia; kweli napata tabu sana kufanya kazi za jikoni kwa kuwa he always want me by his side.

kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?

...nyumba kubwa, nitajie mlo unaopikwa zaidi ya saa nzima kiasi cha wewe kung'ang'ana jikoni badala ya kuketi pembeni
yangu kwenye sofa. Labda usingizie ati ulikuwa busy kuwasha jiko la mkaa, na mkaa wenyewe mbichi...otherwise, lazima mjiwekee muda wa kuandaa mlo na kupika, na muda wa kukaa sebuleni na waume zenu.

Binafsi nachukia kukaa peke yangu sebuleni...aaarrrgghhh!
 
Darling..........and what about fukuto ulipatalo moyoni?! Kwa sababu tatizo si janaba peke yake, ni lile jeraha alokuachia baada ya hapo! ayiiii jamani kina baba please tuoneeni huruma jamani ah, kuwapenda isiwe kosa jamani ah!

Naomba niwaache kwelye hii mada, am not myself. samahanini!

mnh, usha pesonalize tatizo hili pia maskini...pheeewww...
mwj1, kuna kipindi maishani unahitajika kujifunza "kukinai"...

nadhani mwenzangu hujafikia huko...
mwenzio nishakinai haya mapenzi...nishajifunza hata nifanyeje,
if it meant to fail it will,....mi binadamu ndivyo ilivyo!...
Jikubalishe wewe ndio 1st priority maishani mwako...

..haya mambo ya kumfanya mwenzio ndio 1st priority,
tutaishia kufanywa an option tu.

back to topik
,
images
house girls...!
 
Kazi za jikoni ni kazi; na usizidharau kuwa zinahitaji saa moja; Mimi ni mmoja ya watu ambao naweza kuwa busy kuanzia asubuhi mpaka jioni ukizingatia most of week days niko job. Kuna kufua; kupika, kupanga etc. BUT nafanya hivyo hubby akiwa ametoka kwani akiwepo anataka niwe pembeni yake mda wote tupige story. Na kwa kuwa hiyo ndo kitu yeye roho inataka, why not? BUT napenda kufanya kazi za nyumbani kwangu when it is convenient. (when he is absent)

Back
Top Bottom