Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
me nimeolewa.
Kwanza kabisa housegal ni kama binti katika familia anayofanya kazi.kiukweli jiulizei aliotoka hadi akaingia ndani kwako amefuata nini? kama mama siwezi kumruhusu binti yangu atembee na wanaume eti kumaliza ashki,JIULIZE angekuwa binti yako yakumzaa ungekubali mtu anaemlea amfanyie hivyo? Leo hii kesho wazazi wake wakisiki habari kama hii itakuwaje? Kama house gal anatakiwa kujua kilichomleta maana hata alipotokoa mb... kaziaacha kibao si lazima ya mume wangu. Na je, kabla hajaja tulidiscuss vp hadi tukaamua tulete house gal?is it ili alale naye?
Pili, mume wangu hana sababu yakulala na binti wa kazi eti kwa sababu anafanya kazi kuliko mimi. Kama ni hivyo basi niache kazi nikae home kumreplace house gal Huuby ataagree na maisha yalovyo magumu nowadays?
Kutokana na ubize nlionao ila cwezi kumnyima K ni haki yake so anapoamua kulala na HG ni tamaa zake tu maana hata katika mizunguko yake ya kila siku anakutana na wangapi hadi leo hii aamue tu kulala na binti wa kazi ,HAPANA hizo ni tamaa zake tu za mwili.
Mwisho I speak from experience coz am in it,kama HG anatakiwa kujua mipaka yake n so my hubby n I.
Wengi wenu mkituambiaga mmechoka kinachofuata ni kinyume na hapo kwenye bold!