Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

Kitu kingine huwezi hakiki million tatu na pale unaona utawasumbua watu ktk foleni hua nahesabu tu no ktk mashine yake pale anapohesabu yy namwamini na kusepa kumbe ni balaa
Hesabu tu hela yako,ni haki yako kuhesabu,hata kama unahesabu taratibu vipi we hesabu tuu,narudia ni haki yako kuhesabu,na zama hizi haki ya mtu haipoteii
 
Huwa wanaangalia na Sura za 'Kuwaibia ' Mkuu kwani kuna wengine kwa jinsi tulivyo na misura ' mibaya ' huona ni vyema tu akakuwahishia Pesa zako ili uondoke haraka pale eneo la tukio usije ukawa ' Kikwazo ' kwa Wateja wengine mule ndani.
Hata hivyo benki zingine za kis**ge!!
 
Inategemea,
pale mbeya waliwahi kumwibia jamaa ulezi
walikufa familia nzima, hadi waliooa kwenye ile familia
waliteketea, alibaki dada mmoja ambaye ni kilema tu;
 
Mi nilisha pigwa hivo kwenye tigopesa. Jamaa aliweka 150,000 kumbe kachomeka 2,000. Kichwa kiliuma eisee!!!
 
Poleni na kazi .
Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu,

Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na umuhimu wa Pesa nilikomaa ktk foleni kama masaa mawili hivi na nikafanikiwa kuchukua Pesa kiasi cha 3.5m

Tatizo sikuweza kuhakiki pale Pesa. Nilipofika tu sehemu yenye utulivu nikahakiki ile Pesa cha kushangaza katika million moja nilichomekewa na shillingi elfu mbili

Je ni wangapi wanapigwa kwa mtindo huu?
Itakuwa ni michezo yao, kuna siku nami nilikoswa koswa kupigwa buku kumi hapa hapa Lumumba... Nilitoa hela kama M7 hivi akafungua zote na kuanza kuzihesabu kwa mashine na kuzipanga juu nahisi naye alikuwa anachezwa machale.... Kaniambia bado buku kumi kama unayo nipe faster tuwahi foleni... Nikamwambia mzigo uko sawa nikashangaa anaanza kupaniki...Nikamwambia isiwe tabu rudisha mpunga nijihesabie mwenyewe.... Ile nafika ya nne tu nakuta kuna buku kumi imeongezwa na haipo ktk mfumo wa mashine nikajua hili ndio chezo... Nilimwambia sasa endelea na huu mchezo iko siku utafungwa... Tena hawa wadada wanakuwa ni warembo kweli anakutoa na vitabasamu ili ujichanganye atakapokuambia zimepungua ufungue pochi faster kukwepa kadhia ya kuhakiki mwenyewe.... Pambafuuuuuuuuuuu kabisa.
 
Mimi siwezi kuchukua hela bila kuhesabu.ila yalishanikuta.tangu nilipochukua hela benki na mtu aliyenipa ni ndugu Yangu nilimuamini sikuhesabu.kufika nyumbani nahesabu elfu 20 imepungua nilisamehe.lakini kuanzia siku hiyo nikaja mtu wa kuhesabu. Ila kwenye atm yalinikuta.nilienda kutoa hela laki moja na nusu haikutoka nilisubiri kama Dakika moja nikaona Hanna kitu nikaondoka.ila kuangalia bank statement Yangu laki haipo.hata nilivyolalamika haikusaidia
 
Usilalamikie mtandaoni r
MIE KUNA DADA NMB KAHAMA ALIMUIBIA MEE WANGU MILLIONI MOJA.NINAAPA LAZIMA HIZOPESA ZITWATOKEA PUANI.AMBAYE ANAFAHAMIANA NA MENEJA WA NMB KAHAMA TAWI KONGWE NA DADA ANAYESIFIKA KEA KUWAIBIA WAZEE PESA KILA WAKIENDA KUDEPOSIT AWAMBIE WAOMBE RADHI NAKURUDISHA PESA HIZO LA SIVYO FAMILIA ZITAONA WALIOKULA WAKITESEKA SANA. HUYO MTU ALIMUIBIA MZEE WANGU SIKU YA JMATANO KABLA YA ALHAMISI KUU MWAKA HUU
Usilalamikie mtandaoni , rudi kwa Meneja Uhusiano uripoti. For sure hutapata pesa uako lakini angalau tatizo la muhusika litajulikana na ofisi.
 
Huwa wanaangalia na Sura za 'Kuwaibia ' Mkuu kwani kuna wengine kwa jinsi tulivyo na misura ' mibaya ' huona ni vyema tu akakuwahishia Pesa zako ili uondoke haraka pale eneo la tukio usije ukawa ' Kikwazo ' kwa Wateja wengine mule ndani.
Wewe si upo PUERTO RICO :eek::eek::eek::D:D:D:D
 
huku mkoa wa songwe wilaya ya songwe hata wiki moja haijaisha tangu bank ya NMB ifunguliwe,lakini wizi wa kusema hela iko pungufu wakati ulihesabu vizuri umeanza.sasa tunasema wataondoka.
 
Poleni na kazi,

Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu,

Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na umuhimu wa Pesa nilikomaa ktk foleni kama masaa mawili hivi na nikafanikiwa kuchukua Pesa kiasi cha 3.5m.

Tatizo sikuweza kuhakiki pale pesa. Nilipofika tu sehemu yenye utulivu nikahakiki ile Pesa cha kushangaza katika millioni moja nilichomekewa na shillingi elfu mbili.

Je ni wangapi wanapigwa kwa mtindo huu?
Wakati anahesabu kwenye mashine,wewe ulikuwa unamtizama?,If yes,je uliona akichmeka hizo Note?,If not,Kwa nini unamlaumi mhudumu wakati ni makosa ya mashine ya kuhesabu pesa.Halafu pia,Pale counter kuna ujumbe umeandikwa"Please Count Your money Before Leavinga The counter" Ni kwa nini hukuhesabu pesa zako pale ili kujiridhisha?...Walipoweka ule ujumbe wanajua kabisa kuna muda huwa mashine zina Jam na kushindwa kuhesabu fedha kwa usahihi...Tutimize wajibu wetu tuache lawana kila wakati.
 
kwani hizi bank hazina counting machines ambazo ,cashier akiziweka kwenye machine wakati wa kuhesabiwa,wewe mteja unakuwa na ka screen kadogo kuangalia ni kiasi gani umehesabiwa?,pili hiyo bank haina kauta maalum kwa wateja wanaochukua fedha nyingi,mara nyingi hizi kauta zina mlango kwa hiyo mtu mwingine hawezi kujua unachukua kiasi gani au unaweka kiasi gani?pole sana please next time ongeza toleo lako kwa siku lets say two days before u wants to draw a large number of cash,tumia ATM ya bank unayoifadhi pesa yako ili kukwepa switch fee,then ukishamaliza nenda kwenye ATM na rudishia kwenye kiwango chako unachokitaka,pole sana
 
Poleni na kazi,

Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu,

Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na umuhimu wa Pesa nilikomaa ktk foleni kama masaa mawili hivi na nikafanikiwa kuchukua Pesa kiasi cha 3.5m.

Tatizo sikuweza kuhakiki pale pesa. Nilipofika tu sehemu yenye utulivu nikahakiki ile Pesa cha kushangaza katika millioni moja nilichomekewa na shillingi elfu mbili.

Je ni wangapi wanapigwa kwa mtindo huu?
Mi nilipigwa buku ten crdb kahama.
Niliomba tellar anipe laki 5, nilipotoka nje kwenye mpesa, buku 10 haikuwepo.
Ilikua mwaka jana.
 
kwani hizi bank hazina counting machines ambazo ,cashier akiziweka kwenye machine wakati wa kuhesabiwa,wewe mteja unakuwa na ka screen kadogo kuangalia ni kiasi gani umehesabiwa?,pili hiyo bank haina kauta maalum kwa wateja wanaochukua fedha nyingi,mara nyingi hizi kauta zina mlango kwa hiyo mtu mwingine hawezi kujua unachukua kiasi gani au unaweka kiasi gani?pole sana please next time ongeza toleo lako kwa siku lets say two days before u wants to draw a large number of cash,tumia ATM ya bank unayoifadhi pesa yako ili kukwepa switch fee,then ukishamaliza nenda kwenye ATM na rudishia kwenye kiwango chako unachokitaka,pole sana
Wengine huwa wamezihesabu kabisa, wanakupa tu zikiwa zimefungwa, kutokana na foleni iliyopo, huwezi zihesabu.
 
sasa kwa mshahara wa laki 5 unategemea waishije mjini?
Umepata kazi au bado unasubiri batch jipya watakaomaliza mwaka huu maana tangu 2014 unatafuta kazi sasa 2017 ,Khaa kweli vijana mnasubiri mlipwe million 15 wakati hata pesa ya vocha huna sio bora hao wanaolipwa laki mbili hawatusumbui vocha wala nauli
 
Back
Top Bottom