Jana wakati natoka kwenye sendoff mikocheni resort nikapitia njia ya mwananyamala sokoni hapo nikakuta fremu k
imeandikwa Boflo itech kama sikosei ila ulikuwa usiku sana na nilikuwa speed kidogo kuwhi kupumzika so sikuchunguza vizuru
nikamkumbuka sana Boflo
Boflo pale ni investment yako au majina yamegongana???