Tafakari chukua hatua!!

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Copied and pasted here!!

"Katika nchi yetu kitu kinachotushinda ni kufanyia kazi Vipaumbele! Tukiweza hili kila kitu kitakuwa sawa. HiviDaraja la Kigamboni lenye thamani ya shilingilioni 214 litakalokuwa likihudumia watu 30,000 tu lilikuwa lina umuhimu sana kwa wakati huu kuliko kuboresha Miundombinu ya Railway inayohudumia WaTz zaidi ya Milion Saba wa zaidi ya mikoa 10?

Tanzania siyo Dar Es Salaam peke yake. Kigoma, Rukwa (Mpanda), Tabora, Singida, Dodoma, Moro yote inategemea Reli hii. Tufanyie kazi vipaumbele badala ya Siasa!"

Kumbuka chuo cha UDOM(Collage zake zote 8) gharama yake ni 800 Billion.
 
NAKUPA SABABU 5 TU ZA UMUHIMU WA DARAJA LA KIGAMBONI
1. Idadi ya watu wanaoishi Kigamboni ni kubwa sana kuzidi idadi watu wa mikoa kadhaa(subiri sensa ya mwaka huu)
2. Kigamboni wanayo haki ya daraja kama watu wa Rufiji, Malagarasi, na kwingineko...
3. Daraja la Kigamboni litajigharamia lenyewe, watu watalipia fee kuvuka, hivyo linahadhi tofauti na madaraja mengine yote
4. Kigamboni inakwenda kuwa mji wa kisasa, wa mfano Tanzania na Afrika ya Mashariki
5. Kigamboni ni kitongoji pekee wanachoishi raia wa kawaida wazawa kilichopo karibu sana na Ikulu na ofisi nyeti za nchi.
 
duh!

1. Sijuhi unazungumzia mikoa ya nchi ya Unguja na pemba au?
2. Nadhani kuna tofauti kati ya Kigamboni na Rufiji, Malagari na huko unakofikiria wewe!
3. Si kweli. Kodi setu na mafao yetu yatatumika kuwanufaisha nyinyi na bush!
4. Hilo la m,ji wa kisasa sahau lilisha futwa sikunyingi kama ulivyosikia kuanzia mwanzo mchakato umekosewa labda uanze upya!
5. Sijuhi wewe mwenzetu raia wa kawaida na wasio wakawaida unbatofautisha vipi?
hivbi unaweza kuwa fananisha wakazi wa Kigamboni na tandale? manzerse? kimara? mbagala? sinza je?
Kuhusu wazawa sikuelewi wzawa ni wakina nani? labda hujuhi historia ya Bandari salaama ( Dar es Salaam) ?
 
Kama ulivyoonisha,tatizo la viongozi wetu ni kutojua na kupanga vipaumbele
Wanasukumwa na mitazamo ya kisiasa zaidi kuliko hali halisi na utaalamu
Daraja la Kigamboni halina umuhimu sana kama ilivyo reli ya kati
Lakini ndio hivyo tena, ndio viongozi wetu na watu wanawaongoza ni kama MOSHINGI na hoja zake hapa juu, wanapeta tu!
 
Back
Top Bottom