Tabu ya Walimu kwa wanafunzi wanaojifanya hawaelewi

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Unamfundisha mwanafunzi anakuambia sijaelewa, unarudia mara mbili zaidi bado hajaelewa, lakini baadae unagundua mwanafunzi huyu ni wa kike na wewe mwalimu ni mwanaume ufanyeje?
 
ukiona anakuganda si utafute mwalimu mwingine wa kike amueleweshe?? au we tu ndo mwalimu kwenye hiyo shule??
 
Unamfundisha mwanafunzi anakuambia sijaelewa, unarudia mara mbili zaidi bado hajaelewa, lakini baadae unagundua mwanafunzi huyu ni wa kike na wewe mwalimu ni mwanaume ufanyeje?

unamfundisha somo linaloeleweka zaidi, na lenye raha ya ajabu mfikapo kileleni
 
Unamfundisha mwanafunzi anakuambia sijaelewa, unarudia mara mbili zaidi bado hajaelewa, lakini baadae unagundua mwanafunzi huyu ni wa kike na wewe mwalimu ni mwanaume ufanyeje?

Kuna tatizo gani?

Mfundishe tena mara ya tatu halafu kama bado kuelewa mteue mwanafunzi mmoja au wawili waliokuelewa waambie hao wamsaidie.

Kwani angekuwa ni mwanafunzi wa kiume unafanyaje? Acha bhange, wehu na utoto!
 
unamfundisha somo linaloeleweka zaidi, na lenye raha ya ajabu mfikapo kileleni

Sitaki kukuelewa, kila kama nimekuelewa; basi, subiri binti yako awe huyo "asiyeelewa" ndo utakujua utamu wa somo hilo tajwa.
 
hizo changamoto ndio ziliacha nikakikmbia ualimu....ikimbieni zinaaaa
 
kuwa mwalimu ni challenge na wito.

Kama unaona haelewi, na kweli haelewi na wenzie wameelewa, tafuta kipanga mmoja darasani awe anamsaidia. Hii iliwahi msaidia mwalimu enzi mie nasoma.
Alikuwa anachagua walioelewa hata watano anawakabidhi kila mmoja mtu wa kumfundisha.

Inamsaidia kisaikolojia hata yule asiyeelewa.
Tatizo vibinti vya sasa vina stail nyingi za kusema na walimu.
 
Jukumu lako ni kubadilisha mbinu na njia tofauti hadi atakapokuelewa.Si kumbadilisha kuwa malupulupu yako.
 
Unahamia topic nyingine.
kwan hiyo ambayo haielewi ni guerantee kuwa itatoka kwenye mtihani?
 
punguza kuvaa kitanashati na pia punguza mlegezo watoto wa kike wako sensitive kwa kila kitu
na perfume hizo acha unamtamanisha.kuwa simple atakuelewa somo unalofundisha na acha tabasamu la obama
labda mnashindwa kuelewana lugha pia,ona walimu wenzio wanavofundisha
http://www.youtube.com/watch?v=tkMNEkoen_o
 
nahisi kuna mtu anatamani kuvuta mvua 30!
Source: sexual offences act.
 
hizo changamoto ndio ziliacha nikakikmbia ualimu....ikimbieni zinaaaa
acha uongo wewe! Ulikua unafanya cheating na sio teaching kama uliwah kufundiisha. Mbona nafundisha shule ya mabinti tuu na maisha yanaendelea?
 
Back
Top Bottom