Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Prof Juma Kapuya huyo mzee mchawi ogopa
TABORA NI MMOJA WA MIKOA MIKUBWA TANZANIA. NAKABILA LA WANYAMWEZI NI LA TATU KWA UKUBWA TANZANIA. inashangaza moa huu unaongoza kwa kuwa na vijana wengi wasio na ajira(98%). Lakini una wana kwaya wengi mashuhuli wanaojua kuimba nyimbo za kisiasa. Hata mtunzi wa wimbo wa mabepari walia kukatiwa milija, walipotangaziwa azimio la arusha ni mkazi wa Urambo!
Jamani wanyamwezi, tafadhali wadaini hao mnaowapigia kura wawape ajira.