Tabora Badilikeni nyie wanyamwezi

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.
 
Hongera sana great thinker, Wapambanaji na wasomi wa kwanza kabisa kupigania uhuru wa Tanganyika wengi wao waliokuwa mstari wa mbele ni Wanyamwezi. Wanyamwezi ni wapole wataratibu, people with sense of humour, wachapa kazi, wanauwezo wa kuongoza, they like to share, omba mungu raisi awe Mnyamwezi 2015 maendeleo ya nchi hii itakuwa zaidi ya Doubai katika kipindi cha 15 years tu.
 
Wana mtaji mkubwa sana wa CCM umaskini, ujinga na maradhi!
 
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.

Unajua sehemu iliyo tawaliwa sana na waarabu koko ni kazi sana kufunguka kifikra.
 
Ulichokizungumza mwana jamvi kimenigusa sana, nimekuwa nikijaribu kutafakari juu ya namna ya kuibadilisha jamii ya wanyamwezi wenzangu, ktk harakati zangu na vijana wenzangu nimepata kupita maeneo kadhaa ya mkoa wetu, Urambo iliko asili ya Baba yangu ktk tarafa kama Usoke,Kaliua iliyopewa kuwa Wilaya na hata Ulyankulu, Uyui pia, Sikonge ktk maeneo kama Tutuo na huko Igunga asili ya mama mzazi.Katika uchunguzi wangu huu mdogo nimegundua kuwa TATIZO KUBWA LA WANA TABORA NI ELIMU YA URAIA (KUJITAMBUA) ila niwaelewa na wako tayari kwa mabadiliko.Wanahitaji nafasi kujua UOZO WA SERIKARI YA CCM Ili wachukue maamz sahihi Ila mwisho wa haya ni 2015, nawaahidi wanajamvi kwamba sisa kama Vijana wa mkoa huu tumejipanga kuhakikisha 2015 CCM wageuke wapinzani, Tayari tumeanza kufungua matawi rukuki ya CDM toka 2009 na hii ndo hasa imetusaidia 2010 ktk Kata za Urambo mjini, Ussoke mjini, Vumilia na Imalamakoye zilizo ndani ya jimbo la Sitta kuchukuliwa na Chadema. Tunatambua kazi ni ngumu ila tutapambana mpaka mwisho.
 
Sio kosa lao, ni mwarabu amewaharibu. Hao ndio wazaramo wa bara, majungu na bao ndio zao. Na CCM bwana wakishajua kuna mavuno sehemu watahakikisha hilo shamba haliharibiki (hawapati elimu)
 
Nakubaliana sana na mchangiaji aliyetoa sifa kadhaa za wanyamwezi, mimi pia ni mmoja wa wanyamwezi hao ila niseme tuu wazi kwamba ukweli wanyamwezi tuu wapole sana, ila kwa mtazamo wangu upole huu umetutengenezea hali ya uoga na ujinga kabisa. Nimepita maeneo kadhaa ya mkoa huu kujionea hali ya mambo na uhalisia ni kwamba "RAITI KAMA WANAYOFANYIWA WANA TABORA YANGETOKEA SEHEMU KAMA MBEYA, ARUSHA NA HATA MOSHI NAFIKIRI INGETOKEA HATA VITA". Mapori yote yamepewa wageni wa kiarabu, mathalani poli la hifadhi ya Ugalla iliyopitia maeneo ya Urambo, Sikonge mpaka Mpanda amepewa mwarabu ambaye ni zaidi ya binadamu katili. Mama zetu kila siku wanakamatwa na kupewa adhabu kama watumwa kisa kukutwa wakikusanya kuni porini, wengine mpaka kuuwawa. Wakulima wa tumbaku wananyanyaswa bila kuangalia kazi ngumu wanazopitia, Wavuvi na wachanaji mbao kila kukicha wanauwawa kikatili na walinzi wa mapori ya waarabu n.k. Ila naendelea kuwaahidi wana jamvi, 2015 sisi kama vijana wa mkoa huu, tutasimama ipasavyo, Viva to CDM
 
Hongera sana great thinker, Wapambanaji na wasomi wa kwanza kabisa kupigania uhuru wa Tanganyika wengi wao waliokuwa mstari wa mbele ni Wanyamwezi. Wanyamwezi ni wapole wataratibu, people with sense of humour, wachapa kazi, wanauwezo wa kuongoza, they like to share, omba mungu raisi awe Mnyamwezi 2015 maendeleo ya nchi hii itakuwa zaidi ya Doubai katika kipindi cha 15 years tu.
kwa sababu wabumge wao si wanyamwezi ndo maana haiendelei??
 
sikonge upo wapi ndugu yangu?
wanyamwezi...wagogo,warangi,wanyiramba,wamakonde,wasambaa na waluguru baragumu limepigwa AMKENI
 
Sio kosa lao, ni mwarabu amewaharibu. Hao ndio wazaramo wa bara, majungu na bao ndio zao. Na CCM bwana wakishajua kuna mavuno sehemu watahakikisha hilo shamba haliharibiki (hawapati elimu)

Kama vile ulikuwepo kamanda... kahawa naharibu sana hii mtu,Tabora imekuwa benki ya kura salama za CCM na mabwana hawa hawakubali kabisa kuipoteza benki hii ya Kinyamwezi
 
elimu ya uraia ni muhimu sana, siyo huko tabora tu, ni maeneo mengi tanzania bado elimu ya uraia ni ndogo
 
Hata mimi wananiudhi sana sijui kwa nini wanaburuzwa na ccm?achaneni na kupenda vya bure,chumvi,hkanga,mahindi ya msaa,kofia na vijihela,
Kataeni kubruzwa na ccm watawanyonya mpaka damu.
 
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.
Kabla hatuja watupia lawama watu wa TABORA naomba tuwatupie lawama vyama vya upinza hasa chama changu cha chadema kwa mapungufu waliyoyaonyesha huko igunga kama isingekuwa mapungufu ya CHADEMA leo hii chadema tunge kuwa na wabunge wa kuchaguliwa 25....watu wa tabora wana hitaji elimu kama iliyofanywa Meru na mawakala hawakujipanga...tuiwezeshe chadema ili ipate fungu la kutosha naamini mwaka 2014 nchi itaongozwa na CHADEMA
 
Tatizo kubwa la Tabora ndugu zangu ni elimu,watu wanaojua kusoma kule ikifanyika tafiti leo nadhani matokeo kila mtu hataamini hali ya kule,pili suala la uoga hawa jamaa ni wapole mpaka basi ili Tabora ibadilike kazi ya ziada inabidi ifanyike
 
Dodoma pia bado wana ukiziwi na upofu! wanahitaji kuzibuliwa masikio na macho
 
HAYO YOTE TISA LA KUMI ETI KUMCHAGUA MSOMALI AWE MBUNGE WAO TABORA MJINI. HIVI WANYAMWEZI WOTE WALIKUWA WAMEKWISHA.
MSOMALI HUYU MBUNGE WENU:-1. Alifikuzwa kazi CDA mwaka 1984 na Nyerere tena alitoa agizo tu wafukuzwe yeye
wengine tisa akiwemo Moses Kagya(huyu alifungwa miaka 6), Mavunde, Kitonka,
Mruma, Morrel na wengine Msomali wenu wanyamwezi alifukuzwa kwa wizi.
2. Alifungwa kwa wizi alipokiwa FAT
3. Ni tapeli aliitapeli Serengeti boys ikafukuzwa kwenye mashindano aliwadanganya
wa TFF ati yeye anajua sheria za FIFA ( Kama yeye anajua sheria na Tundu Lissu
atajua nini)
4.Aliwatapeli wanyamwezi wakampa uenyekiti wa wazazi,wakati siyo mzazi watoto
hajulkani walipo, na sijui kama ana mke
Zamu hii tunawamba mmchague mnyamwezi ai awe mbunge wenu.
 
Kati ya mikoa inayotia huruma hapa Tanzania ni Tabora, yaani CCM wamewafanya hawa ndugu zetu kuwa zaidi ya wajinga. Kazi ni kwao kuendelea kuikumbatia CCM au kuitupia virago.
 
Back
Top Bottom