Tabora Badilikeni nyie wanyamwezi

Prof Juma Kapuya huyo mzee mchawi ogopa

TABORA NI MMOJA WA MIKOA MIKUBWA TANZANIA. NAKABILA LA WANYAMWEZI NI LA TATU KWA UKUBWA TANZANIA. inashangaza moa huu unaongoza kwa kuwa na vijana wengi wasio na ajira(98%). Lakini una wana kwaya wengi mashuhuli wanaojua kuimba nyimbo za kisiasa. Hata mtunzi wa wimbo wa mabepari walia kukatiwa milija, walipotangaziwa azimio la arusha ni mkazi wa Urambo!


Jamani wanyamwezi, tafadhali wadaini hao mnaowapigia kura wawape ajira.
 
kazi ngumu mpe mnyamwezi wamezoa hao any way prof lipumba ,sita ,kapuya mmmmmhhawa vip michango yaoo?

Mnyamwezi pamoja na mazuri aliyonayo,akifanikiwa kama hao uliowataja ananata sana.Nakumbuka enzi za Abubakary Mgumia,huyu jamaa hata kuipata salamu yake ilikuwa taabu,hicho pia ni chanzo cha kutokuwa na umoja.Kukosa umoja alwya manakuwa divided and hence easy to rule,tofauti na maeneo ambayo sasa yanapiga hatua na upinzani.
 
Chuki za kidini wapi wewe mkuu? Mtu akisema ukweli eti anapandikiza chuki za kidini. Tabora bado itachukua miongo kadhaa kubadirika; uswahili, uvivu, mwamko wa elimu mdogo, majungu na kukumbatia magamba! Miaka 50 ya uhuru, wilaya zote za Tbr (Nzega, Urambo, Sikonge, Uyui na Igunga) kuunganisha na makao makuu ya mkoa (Tabora) ni vumbi tupu! Badirikeni Wanyamwezi.


Hata sikuelewi unapinga nini na unaongea nini??Hebu msiwe mnakurupuka wakuu hili ni jukwaa la watu wenye fikra pevu!Hivi ni sahihi kusema hadharani tena kwa ushabiki kuwa kwenye waislamu wengi CDM haikubariki au ndiyo CUF inakubalika kwa mtu mwenye hekima zake kweli??Unakimbilia kusema Tabora hatujaunganishwa kwa lami hata wilaya ni sawa na kubali lakini hata hao wa upinzani unaotaka wachaguliwe ni yupi unayemfahamu kuwa alikuwa ni mtu makini lakini na hakuchaguliwa??Hebu acha majungu mkuu usipende kuweka ushabiki mbele!!
 
Wanaoipigia ccm kura ni wabinafsi, wanaona heri kutupa chakula badala ya kutoa kiwasaidie wenye njaa wengi;
 
Shida ya Tabora ni kama Mbeya(RUNGWE na Kyela)
prof.KAPUYA na Mnafiki Samuel Sita kwa Tb na Mwakyembe,mwakyusa na mwandosya Mby ndio wanao pendwa!
Kule rungwe madiwan na wenyevt wa mitaa weng ni Chadema!
Hvyo ni suala la muda tu,cdm tutachukua majimbo!
 
Sio kosa lao, ni mwarabu amewaharibu. Hao ndio wazaramo wa bara, majungu na bao ndio zao. Na CCM bwana wakishajua kuna mavuno sehemu watahakikisha hilo shamba haliharibiki (hawapati elimu)
acha kudharau makabila ya wenzako we pusi, inakusaidia nini ukiandika hivyo? we jamaa post zako zote utafikiri ameandika mtoto wa darasa la saba. huna akili kabisa za kufikiri impact yake kwa msomaji especially yule mwema na anayetoka kwenye jamii uliyoidharau..
 
Pamoja na yote badala ya kutoa ushauri nini kifanyike karibu wachangiaji wote humu ndani na hasa uzi unaoongelea habari za Tabora zimejaa KEJERI, MATUSI , DHARAU NA UJIVUNI. Halafu nategemea utapata postive results kwa kile unacho kitajia kuweni waungwana na kuwaelimisha hao "WAPUMBAVU NA MALOFA" wa Tabora utaona kuna mabadiliko lakini kwa njia hii hakuna kitu kama hicho (MABADILIKO)
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.

Wakutubadilisha alikuwa Dr. Slaa lakini huyu mnunuzi wa UKAWA simtaki hata kumuona afanye ufisadi wake akiwa CCM ashitukiwe akimbilie UKAWA SIMPI KURA YANGU NG'OOOOOOOOOOOOOO HATA KAWA RISASI mtu gani ameonja raha ya CCM leo hii aniambie CCM mbaya baada ya kukatwa jina!!!!! Ni walewale BORA NIBAKI NA CCM KULIKO KWENDA UKAWA ,hana jipya hata Sumaye ni walewale tu miaka kumi PM leo aniambie hapendi rushwa wakati akiwa PM CCM ilikuwa nzuri sasa hivi hana kazi ati CCM mbaya.

Mtu sahihi alikuwa Dr. Slaa ambaye hata ukuu wa wilaya hajawahi shika ana haki zote za kupigiwa kura na kuisema ccm siyo hao wasaka madaraka wanaodanganya watu eti wataleta mabadiliko na kwa bahati mbaya wengi mmekurupuka kuwaunga mkono bila kufikiri kilicho nyuma ya pazia. Mabadiliko lazima yawepo hata kama ni kuamrishwa kulala mchana ni mabadiliko kukatwa mikono ni mabdiliko pia mmepata hata muda wa kufikiri kuhoji hayo mabadiliko yatakuwaje? Au bora mtu aingie Ikulu hatudanganyiki kumchagua North zone atupandie mgongoni kwa kutuhadaa eti ccm mbaya alie tu ccm ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi tunaompinga mnunuzi wa UKAWA.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kuna watu hawaujui wakati unaofaa. Kwani ccm ukoo. Ukweli ni kwamba haturudi misri tunaenda kanaan
 
CCM umenilelea mama yangu kamwe sitakuacha hata kwa manunuzi ya kifo
 
Nakubaliana sana na mchangiaji aliyetoa sifa kadhaa za wanyamwezi, mimi pia ni mmoja wa wanyamwezi hao ila niseme tuu wazi kwamba ukweli wanyamwezi tuu wapole sana, ila kwa mtazamo wangu upole huu umetutengenezea hali ya uoga na ujinga kabisa. Nimepita maeneo kadhaa ya mkoa huu kujionea hali ya mambo na uhalisia ni kwamba "RAITI KAMA WANAYOFANYIWA WANA TABORA YANGETOKEA SEHEMU KAMA MBEYA, ARUSHA NA HATA MOSHI NAFIKIRI INGETOKEA HATA VITA". Mapori yote yamepewa wageni wa kiarabu, mathalani poli la hifadhi ya Ugalla iliyopitia maeneo ya Urambo, Sikonge mpaka Mpanda amepewa mwarabu ambaye ni zaidi ya binadamu katili. Mama zetu kila siku wanakamatwa na kupewa adhabu kama watumwa kisa kukutwa wakikusanya kuni porini, wengine mpaka kuuwawa. Wakulima wa tumbaku wananyanyaswa bila kuangalia kazi ngumu wanazopitia, Wavuvi na wachanaji mbao kila kukicha wanauwawa kikatili na walinzi wa mapori ya waarabu n.k. Ila naendelea kuwaahidi wana jamvi, 2015 sisi kama vijana wa mkoa huu, tutasimama ipasavyo, Viva to CDM
Huwezi kuwa mnyamwezi wewe kwa kauli kama hizi basi unaweza mpiga ata baba yako ngumi...unaanzaje sema wanyamwezi ni wajinga wakati baba na mama yako pia mmoja wao ni mnyamwezi....Punguzeni jazba siasa sio vita na jifunzeni kutunga uhongo.Hutamwitaje mzazi wako ni mjinga?
 
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.

Mzigo mzito mmbebeshe mnyamwezi.
 
Na tumeshasema hatuchomi moto kitanda.tunaua kunguni..yni chama kizima hakiwezi kisa fisadi lowassa na genge lke kina sumaye na chenge
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom