Tablet pc Vs Laptop pc!

Tablet sio PC(desktop,laptop nk nk.....) Tablet ni sehemu ya PC na ndio maana bado zina utegemezi mkubwa kwa PCs na kwa uimara na mambo mengine Pc bado ziko juu
 
Mkuu Gobore, ni functions zipi ambazo zipo ktk laptop lakn hazipo ktk Tablet?
Na ni kampuni gani ina tablet imara na yenye functions nyingi na nzuri compared to the others?
 
kwa tablets za android bado sana kufikia pc ila kwa hizi surface za microsoft nafkiri zinaweza ku compete na pc maana zinaingia app za window. Upembuzi huu ni general

Ila kuna matumizi specific ya mara kwa mara mfano kuangalia movie, kubrowse michezo ya kitoto naprefer tablet maana ipo portable zaidi sehemu yoyote unakua comfortable hata darasani unafanya bila mwalimu kukuona.

Ila kwa matumizi specific kama kuchapa kazi, kutumia app kama za kueditia picha, wanaopenda magame mazuri ni bora laptop
 
Are Huawei tablets in the market? If yes,any competitive advantage over the others?

Am so dissapointed na huawei wametoa tablet mpya ila bei ipo juu

Tablet yao ya bei rahisi inaitwa media pad 7 lite ila bei ni zaidi ya dola 200 kwa specific za kizushi

Still kwenye game now kuna tablet 3 tu
-kindle fire 8gb
-kindle fire hd 16gb
-asus nexus 8gb

Zote ni chini ya dola 200 (199.99)
 
Vitu viwili tofauti kabisa, na ubora wake ni kulingana na matumizi.., ukiwa na kimoja sio replacement ya kingine

Tablet inafaa watu ambao wanahitaji kutumia device on the go (yaani kwenye mizunguko yao) hivyo imetengenezwa zaidi kujali portability (na kwa kupunguza ukubwa wameondoa vitu kama keyboard na optical device) hivyo kazi nyingine kama office work na typing documents ni vema utumie laptop, lakini browsing ya kawaida, note taking au kutembea nayo kwenye meetings na njiani tablet ndio kazi yake
 
Am so dissapointed na huawei wametoa tablet mpya ila bei ipo juu

Tablet yao ya bei rahisi inaitwa media pad 7 lite ila bei ni zaidi ya dola 200 kwa specific za kizushi

Still kwenye game now kuna tablet 3 tu
-kindle fire 8gb
-kindle fire hd 16gb
-asus nexus 8gb

Zote ni chini ya dola 200 (199.99)

sioni samsung,ipad au toshiba etc etc, kwanini una mention hzo3 tu? Na kati ya hzo,kama ni wewe unge prefer ipi na kwanini. Sorry, maswali mengi ndo kujua huko.
 
Hizi tablet 3 zimetuonesha kumbe zinawezekana kuuzwa rahisi

Samsung, toshiba tablet zinaanzia laki 5 kupanda na ipad ndo usiulize bei lakini hizi zinaanzi laki 2 na nusu hadi 3 na nusu.

je ni cheap hardware?

Si cheap hizi tablet wamediverge responsibility zake na kutimiza mahitaji specific
-mfano kindle fire hd ina screen ya hd dual speakers na specification kali kwa wapenda movie, miziki mauzo wenye uelewa mdogo wa app na hata screen menu yake very innovative

-nexus 7 hii kwa wazee wa kazi sifa kubwa ina quad core kwa wanaopenda app hii yao na wanafunzi wasio na laptop hii ndo nzuri ya kureplace package za account mambo ya uchumi vyote vitarun smoothly

Na hata kwenye comparison na tablet za bei ghali zinacompete vizuri tu.

Mi naprefer kindle fire hd kwa sababu ninayo laptop nataka matumizi machache tu. Kama huna laptop go for nexus mkuu
 
Thank u umensaidia sana
 
Mkuu,hujui tu lakn umekuwa wa msaada sana kwangu kwa uchambuzi wako huu. Anyway, nitaku-PM kwa mengine zaidi.
 
Am so dissapointed na huawei wametoa tablet mpya ila bei ipo juu

Tablet yao ya bei rahisi inaitwa media pad 7 lite ila bei ni zaidi ya dola 200 kwa specific za kizushi

Still kwenye game now kuna tablet 3 tu
-kindle fire 8gb
-kindle fire hd 16gb
-asus nexus 8gb

Zote ni chini ya dola 200 (199.99)
Iyo asus nexus bongo zimefika mkuu?
 
kwa tablet za android bora laptop ila za microsoft ni sawa tu na laptop so chaguo lako tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom