2024 iPad Air Pro vs Xioami tablets

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,176
2,279
Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
 
ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza.
 
ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza.
Asante sana kwa ushauri. Vipi ungenishauri nichukue aina gani yenye keyboard na ni tablet PC ukiacha hizi 2 ndugu.
 
Back
Top Bottom