Zote ni bora. HP nzuri zaidi kimuonekano.HP ni nzuri zaidi
Ukienda kununua pc hakikisha ina model number sio label tu nyingi ni fake siku hizi wachina wanaziunda hovyo hovyo motherboard zinakufa Sana.Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
Dell ndo mashineTukiacha muonekano,,ipi ni Bora kwa maana hazifi ovyovyo motherboard,,etc?
Lenovo ssdWadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
Umenifungua hapa Kuna HP Moja nimeona Kuna wahuni wanaiuza 660k kucheki mtandaoni nikakuta bei yake ni 2.7M mpaka hapo nilikuwa na maswali mengi sanaUkienda kununua pc hakikisha ina model number sio label tu nyingi ni fake siku hizi wachina wanaziunda hovyo hovyo motherboard zinakufa Sana.
Dell wako vizuri kwenye motherboard na Lenovo but hp sikushauri labda uwe na MTU atakaeinspecf hiyo machine.
Hp nyingi za siku hizi ni mafamba ya mchina
Lenovo Thinkpad anawaburuza wote hao. Hizi machine ni durable, Hp pekee ndie anasuasua hapo.kwenye hiyo competition, mtoe kabisa Lenovo, hafai hata kukaa hapo....hp na dell wako vizuri zaidi...
Hapa umemaliza Kila kitu...Lenovo ni takataka kama alivyo acer......shida ya hp na dell ni kuwa wana matoleo mengi ambayo wengi hawajui utofauti wake...hakuna Thinkpad itakayokalibia ( hp envy, elitebook au pavilion).... Lenovo zinapendwa na walala hoi sababu ya bei yake huku kwetu ni cheap....