Tabia zinazonikera za baadhi ya madereva wa Dar es Salaam

Na kero nyingine kwenye mizunguko mijitu haijui kwamba umapaswa kumpisha anaetoka kulia kwako lakini utakuta mtu amekomaa tu anjiona yuko barabara kuu haswa kilwa road. Inabidi warudishe yale maelezo yaliokuwepo zamani kwenye roun about ambayo yalikuwa yameandikwa "give way to the right "

Kilwa road hawajazoea round-about bana
💃💃💃💃💃💃💃
 
Ha ha haaaa kaka leo umeamua kutoa somo kabisa!!!!!!!

1. Kuna wanaoendesha wanapiga story mkono mpaka anautoa nje we uko nyuma ya gari yake unadhani anakuashiria kumbe mastory tu basi una slow down mpaka unamfikia unauliza vipi kaka??????? Anakujibu kuhusu nini????????

2. Gari ina stika ya "L" we unaendesha kwa tahadhari ili umpe huyu mgeni barabarani nafasi ya kujifunza kumbe jitu zoefu halijatoa stika husika linakushambulia na maneno "weeee vipi unaendeshaje bana kama mgeni barabarani kaa kando!!!!...kumbe lenyewe ndio lina mislead other drivers!!!!!

3. Mko kwenye foleni gari ya mbele inazingua badala ya kuwasha hazard au atoke kuweka triangles anakaa na nyie mnasubiri mpaka mkija gundua unauliza mzee vipi mbona hutuashirii chochote jibu lake; kama una haraka pita juu!!!!!

MANI
Dah! True story, mijinga yote hii ipo.
 
Last edited by a moderator:

sasa ukute wale vijana wenye viduku, suruali zinabana na ALTEZZA yao, nakushauri uwe mpole maanake wa nguvu sana za ziada!!!
 
kweli barabarani kero ni nyingi na usipokuwa na uvumilivu unaweza korofishana na watu siku nzima,yataka moyo sana kuendesha gari barabarani hasa kwa jiji letu la dar,pia ikumbukwe kuwa watu tunatofautiana kiakili na kimtazamo
 
hii ni kitu muhimu sana otherwise ya Ditopile,R.I.P yanaweza kukukuta
 
Kuna wengine ukishaanza tu kumu-ovateki naye anaongeza mwendo na kukuharibia timing, wanakera sana...

ha ha ha ha ha hii nilipaswa kuiweka namba moja!!! kuna watu kweli wanaendesha taratibu sana ukianza kuwapita tu wanaongeza mwendo!!!!
 
umesahau zero distance, kutegeana bumper, kupigana pini halafu mtu anaondoka eneo la tukio sjui kazama nyumba ndogo masaa kibao, wenye bodaboda hawaangalii taa mwisho unaishia kumpanda, na utitiri mwingine!

sijui wanajiamini ni hawa watu!! unaweza kukuta gari yako majembe wamechukua!
 
Wanajeshi wa JWTZ hasa wanaoendesha yale magari yao makubwa ni miongoni mwa vinara wa hii tabia ya kulazimisha mtu aongeze mwendo,, nasikia ukiendelea kusuasua huwa wanaweza kushuka na kukulazimisha kusimama kisha wanakushusia kichapo...

sheeria za barabarani haziwahusu!!! nilicheka siku moja nyerere road eti wako na li-ASHOK LEYLAND lao wanasindikizwa na king'ora eti wapishwe,mimi nilikuwa mbele kama mita 100 hivi sasa lile bus lao halikimbii utapisha vipi?? mimi nikakanyaga moto tu wala hawakunifikia hadi kwenye mataa tazara wao wakapita kwenye lane opposite!
 
kaka kama we ni mgeni dar unakuwa kama 'learner' hutaweza kuendesha!!!

Ume maliza mkuu unajua watu washazoea kuendesha gar maporini hko wakija huku wana leta mambo yao et utembee spid yale mabasi kule mikoan yana chinja maelf ya binadam wenztu wana ya fumbia macho km huwez endesha gar dar lipak chalnze ndo uje hku
 
Swala la kupiga honi muda mfupi baada ya green light ni kero sana, yaani Dar kila dereva wa gari ni kichaa !
 
Mengi hapo juu nayavumilia.
Hakuna kinachoniudhi kama mtu aliye-park gari upande wangu wa kushoto, akiwa ametazama opposite direction (tunatazamana), ni usiku na yeye kawasha mitaa yake ilhali hiyo ni sehemu ambayo ipo busy na magari mengine ninapishana nayo kulia kwangu.
 
Nchi ikishakuwa na fsadi hayo yote yatatokea. Hata uchomekea au kutanua ni dalili za ufisadi yaani uwahi wewe tu na kuacha wengine kwenye foleni. Ukiwa waziri unataka upate pekee yako,ukiwa rais kadhalika.

hizi ni sababu za kisayansi mkuu.kweli umeona mbali nchi imeoza hii
 
Kuna tabia zinanikera sana hasa kwa madereva wa DSM...na hapa sizungumzii daladala nazungumzia madereva wa gari zote ndogo kuanzia BABY WALKERS mpaka VX V8......

1.kuwasha HAZARD [double indicator] wanapoenda moja kwa moja[straight] kwenye crossroads
Kwingine kote nimekuelewa ispokuwa hiyo namba 1 tu, mj nimefundishwa driving school, na naona hiyo ipo sahihi, sasa sijui imekuwaje kero kwako.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
lol!!!! Hili mie linanikera sana, halafu muhusika hata si mfupi kihivyo. Ukijaribu kumwambia umesogea sana bahati mbaya ukitokea mzinga basi hali inaweza kuwa mbaya zaidi kuliko inavyostahili, atajibu mie mfupi.

Na viti vimesogezwa mpaka usukani upo kwenye matiti.
 
Back
Top Bottom