Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
BASIC DRIVING TEST

1. Taja makundi ya alama za barabarani

2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari

3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili.

4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya taa za barabarani.

5. Taja ishara itakayo kutambulisha kwamba unao kuja mbele yako ni msafara wa kiongozi.

6. Taja maeneo manne ambayo dereva haruhusiwi kutipita gari la mbele yake

7. Ni muda gani dereva wa pikipiki anatakiwa kuwasha taa za pikipiki? na eleza kwanini?

8. Ukiwa kama dereva utafanya nini unapoona gari la wagonjwa linakuja mbele yako, likiomba kupewa kipaumbele

9. Toa maelekezo ni vipi utaendesha gari kwenye eneo lenye ukungu au vumbi?

10. Taja makundi nanne ya watumiaji wa barabara.

11. Nini kazi ya geji ya kilometa kwenye dashbodi ya gari?

12. Eleza kazi za
a) Taa ya ishara upande wa kushoto
b) Taa ya ishara unande wa kutia
c) Taa za ishara ziwakazo parnoja (double indicator)
d) Full tight (taa kubwa)
e) Deam light (taa kubwa)
f) Parking light

13. Ukiwa kama dereva unaelewa nini ukiona neno DOT 3

14. Eleza tofauti iliyopo kati ya D, D2 na L iliyopo katika gari la automatic.

15. Eleza sifa sita za dereva.

16. Taja geji sita zilizopo kwenye dashbodi ya gari.

17. Hatua gani utafuata pindi utapoteza leseni yako ya udereva.

18. Taja vifaa sita na nyaraka sita ambavyo dereva ni lazima awenavyo ndani ya gari akiwa safarini

19. Eleza umuhimu wa ukaguzi wa gari wa kila siku.4

20. Taja wajibu wa dereva akiwa anaendesha gari? 5

21. Taja kazi tatu za clach katika gari.

22. Taja kazí nne za engine oil katika gari.

23. Ukiwa kama dereva eleza kazí tatu za askari wa usalama barabarani.

24. Taja sehemu nne ambazo dereva haruhusiwi kupiga honi.

25. Taja hatua ambazo utafuata baada ya dereva kupata ajali?
 
Very useful questions.
Asante sana
 
That's Bravo Roger
 
1. Makundi ya alama za barabarani
#Maelekezo
#Maonyo
#Taarifa

2. Dereva haruhusiwi kuegesha gari
#Katikati ya barabara
#Sehemu ambazo haziruhusiwi kuegesha gari
#Kwenye kona
#Kwenye mageti na milango
#Katikati ya reli
#Kwenye runway ya ndege

3.Kuchora kichwa cha mtu halafu katikati unakatiza mstari mwekundu kuanzia juu kwenda shingoni.

4. Taa za barabarani
# kijani-inaruhusu kwenda
#Njano-jiandae kusimama
#Nyekundu-simama

5. Msafara wa kiongozi unakuwa na ishara ya king'ora cha pikipiki maalum ambayo hutangilia mbele ya msafara wa kiongozi

6. Dereva haruhusiwi kulipita gari la mbele yake
# Kwenye kona
#kwenye daraja
#kwenye kivuko cha waenda kwa miguu
#kwenye alama zilizokataza kulipita gari lingine
#kwenye mlima
#kwenye mteremko

7. Taa za pikipiki zinatakiwa kuwashwa:

#Kwenye giza yaani usiku
#Kwenye ukungu
#Wakati wa mvua na manyunyu
#Wakati wa kukata kona kulia ama kushoto
#Wakati wa dharura barabarani
#wakati wa kuegesha kwa dharura

8. #Dereva anatakiwa kulipa kipaumbele gari la wagonjwa kwa kupunguza mwendo na ama kuegesha pembezoni mwa barabara ili kurahisisha dereva wa gari la wagonjwa aweze kupenya kiurahisi

9. #Dereva akiwa anaendesha gari kwenye ukungu au vumbi anatakiwa apunguze mwendo na awashe taa ili madereva wenzake wanaokuja nyuma yake na mbele yake waweze kumuona kwa urahisi..

10. Makundi ya watumiaji wa barabara
#madereva
#abiria
#waenda kwa miguu
#mifugo na wanyama (Sina uhakika sana na majibu ya swali la 10)

11. Kazi ya geji ya kilomita kwenye gari
#kuonyesha mwendo ambao gari inatembea kwa saa
#kuonyesha umbali ambao gari imetembea
#kuonyesha idadi ya kilomita ambazo gari imetembea toka iundwe

12. Matumizi ya taa za gari
a. Taa ya ishara ya upande wa kushoto maana yake gari inakata kushoto

b. Taa ya ishara ya upande wa kulia maana yake gari inakata kulia

c. Taa za ishara ziwakazo pamoja(double indicators) maana yake
#gari imeegeshwa kwa dharura mf. matengenezo madogo
#gari imebeba mgonjwa
#gari ina hitilafu hivyo madereva wengine wachukue tahadhari
#gari inavutwa
#gari ipo kwenye shughuli maalum mf msiba, msafara au harusi

d. Full lights hutumika wakati wa usiku na humsaidia dereva kuona mbali. (Ila kimaadili, dereva hutakiwa kupunguza na kuwasha deam light wakati anapishana na gari nyingine ili kumruhusu dereva anayekuja mbele kuona vizuri).
#pia hutumika mchana wakati wa mvua na wakati wa vumbi au ukungu mkubwa.

e. Deam light huwashwa na kutumiwa na dereva wakati wa usiku ili kumuwezesha dereva kuona umbali kiasi. Pia huweza kutumika mchana kwenye ukungu kiasi au wakati wa manyunyu ama vumbi na pia ikiwa gari imeegeshwa kwenye ukungu.

f. Parking lights huwashwa wakati gari ikiwa imeegeshwa usiku ama mchana wakati wa ukungu

........
Nyongeza
SHERIA INAKUTAKA UPUNGUZE MWANGA WA TAA ZAKO UNAPOPISHANA NA GARI JINGINE AU UKIWA ENEO LA MAKAZI.

Gari linapoendshwa barabarani, dereva wa gari hilo atatumia taa za mwanga mkali (full beam) au taa za mwanga mdogo (dipped headlights) kulingana na mazingira ya uoni ya wakati huo. . [Kif.39C(4)] cha Sheria ya Usalama Barabarani Tanzania.

Matumizi ya taa zenye Mwanga kidogo [Dipped headlights]
Taa zenye mwanga kidogo zitatumika
(a) Maeneo yote ya makazi yenye taa za kuangaza barabarani(street lights);
(b) Dereva anapopishana na gari jingine
(c) Dereva anapotaka kuovateki na kulipita gari jingine ili kumfanya dereva mwenzie aendelee kuona vizuri.

Mtu yeyote anayekiuka sheria hii anavunja sheria.
Ni matumaini yetu kuwa makala hii imekuongezea maarifa juu ya matumizi ya taa barabarani na taa zipi hasa ndio za muhimu.

RSAadmin1
RSA TANZANIA
USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.
 
BASIC DRIVING TEST

1. Taja makundi ya alama za barabarani

2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari

3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili.

4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya taa za barabarani.

5. Taja ishara itakayo kutambulisha kwamba unao kuja mbele yako ni msafara wa kiongozi.

6. Taja maeneo manne ambayo dereva haruhusiwi kutipita gari la mbele yake

7. Ni muda gani dereva wa pikipiki anatakiwa kuwasha taa za pikipiki? na eleza kwanini?

8. Ukiwa kama dereva utafanya nini unapoona gari la wagonjwa linakuja mbele yako, likiomba kupewa kipaumbele

9. Toa maelekezo ni vipi utaendesha gari kwenye eneo lenye ukungu au vumbi?

10. Taja makundi nanne ya watumiaji wa barabara.

11. Nini kazi ya geji ya kilometa kwenye dashbodi ya gari?

12. Eleza kazi za
a) Taa ya ishara upande wa kushoto
b) Taa ya ishara unande wa kutia
c) Taa za ishara ziwakazo parnoja (double indicator)
d) Full tight (taa kubwa)
e) Deam light (taa kubwa)
f) Parking light

13. Ukiwa kama dereva unaelewa nini ukiona neno DOT 3

14. Eleza tofauti iliyopo kati ya D, D2 na L iliyopo katika gari la automatic.

15. Eleza sifa sita za dereva.

16. Taja geji sita zilizopo kwenye dashbodi ya gari.

17. Hatua gani utafuata pindi utapoteza leseni yako ya udereva.

18. Taja vifaa sita na nyaraka sita ambavyo dereva ni lazima awenavyo ndani ya gari akiwa safarini

19. Eleza umuhimu wa ukaguzi wa gari wa kila siku.4

20. Taja wajibu wa dereva akiwa anaendesha gari? 5

21. Taja kazi tatu za clach katika gari.

22. Taja kazí nne za engine oil katika gari.

23. Ukiwa kama dereva eleza kazí tatu za askari wa usalama barabarani.

24. Taja sehemu nne ambazo dereva haruhusiwi kupiga honi.

25. Taja hatua ambazo utafuata baada ya dereva kupata ajali?
Asante kwa refresher mkuu
 
Jumanne Mwita ndugu yetu aitwaye Kindeena ametujibia swali namba moja mpaka namba sita hivyo ningeomba yale majibu uyaweke pale kwenye post kisha wengine wakijibu maswali yaliyobaki kiusahihi pia uweke hii itasaidia wengi sana hapa na Unaweza kuwa uzi bora kwa ajili ya mafunzo ya udereva
 
Ajali nyingi za barabara zinatokana na kuzipuuza au kutozijua sheria kama hizi...tena pale inapotokea mmoja anajua mwengine hajui kifuatacho ni r.i.p
 
BASIC DRIVING TEST

1. Taja makundi ya alama za barabarani

2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari

3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili.

4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya taa za barabarani.

5. Taja ishara itakayo kutambulisha kwamba unao kuja mbele yako ni msafara wa kiongozi.

6. Taja maeneo manne ambayo dereva haruhusiwi kutipita gari la mbele yake

7. Ni muda gani dereva wa pikipiki anatakiwa kuwasha taa za pikipiki? na eleza kwanini?

8. Ukiwa kama dereva utafanya nini unapoona gari la wagonjwa linakuja mbele yako, likiomba kupewa kipaumbele

9. Toa maelekezo ni vipi utaendesha gari kwenye eneo lenye ukungu au vumbi?

10. Taja makundi nanne ya watumiaji wa barabara.

11. Nini kazi ya geji ya kilometa kwenye dashbodi ya gari?

12. Eleza kazi za
a) Taa ya ishara upande wa kushoto
b) Taa ya ishara unande wa kutia
c) Taa za ishara ziwakazo parnoja (double indicator)
d) Full tight (taa kubwa)
e) Deam light (taa kubwa)
f) Parking light

13. Ukiwa kama dereva unaelewa nini ukiona neno DOT 3

14. Eleza tofauti iliyopo kati ya D, D2 na L iliyopo katika gari la automatic.

15. Eleza sifa sita za dereva.

16. Taja geji sita zilizopo kwenye dashbodi ya gari.

17. Hatua gani utafuata pindi utapoteza leseni yako ya udereva.

18. Taja vifaa sita na nyaraka sita ambavyo dereva ni lazima awenavyo ndani ya gari akiwa safarini

19. Eleza umuhimu wa ukaguzi wa gari wa kila siku.4

20. Taja wajibu wa dereva akiwa anaendesha gari? 5

21. Taja kazi tatu za clach katika gari.

22. Taja kazí nne za engine oil katika gari.

23. Ukiwa kama dereva eleza kazí tatu za askari wa usalama barabarani.

24. Taja sehemu nne ambazo dereva haruhusiwi kupiga honi.

25. Taja hatua ambazo utafuata baada ya dereva kupata ajali?
Hii Shule tosha turud darasan
 
Back
Top Bottom