BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,166
Na kero nyingine kwenye mizunguko mijitu haijui kwamba umapaswa kumpisha anaetoka kulia kwako lakini utakuta mtu amekomaa tu anjiona yuko barabara kuu haswa kilwa road. Inabidi warudishe yale maelezo yaliokuwepo zamani kwenye roun about ambayo yalikuwa yameandikwa "give way to the right "
Kilwa road hawajazoea round-about bana
💃💃💃💃💃💃💃