Tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo

Ni kweli hata ukitaka kuoa angalia mama anafananaje kama mwili wake na sura yake viko fit so your wife atakuwa hivyohivyo.
 
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe.
kwanini mama mkwe?
1. Mama mkwe ndie aliyemlea mkeo mtarajiwa kwahiyo mchumba wako atakuwa ameiga na kufundishwa kuwa na tabia kama mama yake
2.Mara mwanamke anapoolewa Mshauri mkuu ni mama yake mzazi(napenda uamini hili) kwahiyo maisha yake kwenye ndoa yatategemea ushauri wa mamaye
3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi.

N.b mbasha kama angekuwa makini kumchunguza mama mkwe haya yote yanayomtokea asingeshangaa

Nakubaliana na wewe kaka. cc kwa kwamtoro
 
Last edited by a moderator:
yaaaah... inawezekana kwa asilimia kubwa wapo hivyo, bt wapo wadada pia ambao tabia zao hazifanani na mama zao so usijeona mama katulia bibie akawa kicheche ukashangaa. hiyo hutokea.
 
Ni kweli mtoa mada. Nimeshaona ndoa kadhaa ziko chali kisa mama wakwe na ukiangalia mabinti tabia zao km za mama zao
 
Ni kweli mtoa mada. Nimeshaona ndoa kadhaa ziko chali kisa mama wakwe na ukiangalia mabinti tabia zao km za mama zao

mwanamke anapokuwa mtoto anajifunza ku adopt mambo ya kike pamoja na shughuli anazozifanya mama ake vilevile kwa mwanaume pia anajifunza kufanya kazi za kiume sambamba na baba yake
 
mkuu naona imekula kwako hiyo! sio wote na umesema kwa uchunguzi wako mdogo! sample ni kiasi gani? kwa population gani?
 
Back
Top Bottom