Tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo

km ndiyo hivi basi itakuwa hatari,,,,,,,,, acheni ubaguzi wa kurithisha watoto tabia za wazazi wazi wazi namna hii.
 
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe.

3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi.

Asilimia 300 upo sahihi!Nimekumbana na hizi tafrani live bila chenga mpk nimejuta!Nilipochunguza nikajua binti ana-copy na kupest life la mama!
 
Nakubalıana na wewe asılımıa mıa moja, tabıa ya mama mkwe ndıo ya mkeo na namna anavyomttrat baba yake ndıo atakavyokuteat ww pıa
 
Hii inaweza kua kweli,ila kwangu siyo kweli,
kuna mabinti wamelelewa na akina mama wanaojiheshimu ila wao ni tofauti kabisa,.
Kuna wengine mam zao ni micharuko ila ni wapole sana kutofautisha na mama.
Wapo watoto wa kike wengi tu wanaovutiwa zaidi na mienendo ya baba kuliko mama.

Nakubaliana na wewe kuna familia niliwahi kuiona mama cha pombe hatari ana matusi vibaya mno ila mabinti zake wawili vina tabia mnzuri kila mtu anasikitika na tabia za yule mama...mpka kuna kipindi alilewa hajiwezi watoto wa kike wale walichukua maamuzi magumu ya kwenda kumtia bakora mama yao hadharani walishachoshwa na ulevi wa mama yao..
Na yule mama pombe aliacha kwa aibu iliyompata na watoto wake saa hizi wako chuo
 
sio kweli tena nakataa kwa ufahamu wangu wote,,,,,,halafu ifikie wakati haya mambo ya kurithi tabia tuachane nayo, eti unakuta mtu na vijitabia vyake vya ajabuajabu tu halafu utasikia watu wanasema kamrithi mzazi wake khaaaaa! sasa mtu mwizi, malaya, mwongo, mlevi n.k halafu anasingizia kurithi? mimi binafsi sikubaliani na hili.
 
..hii kweli aisee..kuna mama mmoja yuko kino...ni Malaya bluuu...na binti yake ni malaya kubuhuu...wanashindana...mpaka wanachukuliana wanaume na wanajua na wanachekeana..na mama na mtoto hadi sasa wako na mwanaume mmoja na wote jamaa anawapiga tigo vibaya..mama she is 53 bintiye 28 .. wanapigwa booo mpaka puuuu....!!
 
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe.
kwanini mama mkwe?
1. Mama mkwe ndie aliyemlea mkeo mtarajiwa kwahiyo mchumba wako atakuwa ameiga na kufundishwa kuwa na tabia kama mama yake
2.Mara mwanamke anapoolewa Mshauri mkuu ni mama yake mzazi(napenda uamini hili) kwahiyo maisha yake kwenye ndoa yatategemea ushauri wa mamaye
3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi.

N.b mbasha kama angekuwa makini kumchunguza mama mkwe haya yote yanayomtokea asingeshangaa

Usikariri jombaa kuna wengne wameolewa lkn wakpata tatzo washaur wao ni mshua..hujaona hyoo...
Aya km watoto waliozaliwa mama zao wakafa kwa matatzo ya uzaz akalelewa na mshua au shangaz au mama mkubwa uyu tabia zake utazfananisha na nan??
Au ndo umemeza Like a mother like a daughter ..Mim kwangu hyo nakataaaa hapana chalii
 
sasa huo muda wa kumchunguza mama mkwe utaupata wapi?

Atakuwa anamtoa out mara mojamoja na kuchunguza simu zake, kuongea na marafiki zake ikiwa ni pamoja na kumdadisi baba mkwe wake na ma x wake.
 
Hee,sasa anaoa binti au anamuoa mama mkwe?
Atakuwa anamtoa out mara mojamoja na kuchunguza simu zake, kuongea na marafiki zake ikiwa ni pamoja na kumdadisi baba mkwe wake na ma x wake.
 
sio kweli tena nakataa kwa ufahamu wangu wote,,,,,,halafu ifikie wakati haya mambo ya kurithi tabia tuachane nayo, eti unakuta mtu na vijitabia vyake vya ajabuajabu tu halafu utasikia watu wanasema kamrithi mzazi wake khaaaaa! sasa mtu mwizi, malaya, mwongo, mlevi n.k halafu anasingizia kurithi? mimi binafsi sikubaliani na hili.
Kwa kila utafiti unaofanyika lazima uchukue sample na sio whole population.na utaconclude kwa kuangalia majority of sample na sio lazima sample zote zikubali.kiukweli asilimia kubwa(sio 100%) za tabia za wadada wanaadapt kutoka kwa mama zao.ndio maana utasikia wanawake wa kabila Fulani wako hivi na hivi.unadhani ni kwann sababu vizazi kwa vizazi wanaridhi tabia za mama zao
 
Kwanza nikiri hili c jukwaa ninaloingiaga. Ila mleta mada yupo sahihi 99%. Mimi ni muhanga wa hii kitu. Mama mkwe wangu ameachika. Mimi nimemwacha mke wangu, naye ana dada zake wawili wote wameachika. Ukiangalia kwa karibu tabia zao zinafanana kabisa.

Yule mama amezaa na zaidi ya mwanaume mmoja. Tayari wale shemeji zangu wawili walioachika, mmoja mjamzito, mmoja tayari ana mtoto, na wote walipoachika tayari walikuwa na watoto kwenye ndoa zao za mwanzo. Mkuu mtvbase upo sahihi sana. Ahsante nitarudi kuona wengine wana maoni gani.

Afadhali we umekuja na ushuhuda wa kweli
Mleta uzi amesema jambo ambalo linaukweli asilimia kubwa kwa wale mabinti ambao kila kitu lazima amuulize mama yake.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana mara nyingi baraka za wazazi ni muhimu sana unapotaka kumpata mwenza wa maisha kwa sababu kwa kuishi kwao kwingi wameona mazuri za kasoro nyingi za familia mbalimbali hivyo ukiambiwa usioe pale ujue kuna sababu za msingi na sio chuki.
 
Asilimia 300 upo sahihi!Nimekumbana na hizi tafrani live bila chenga mpk nimejuta!Nilipochunguza nikajua binti ana-copy na kupest life la mama!

Wanaobisha hawajaona na kushuhudia tafrani za namna hii ambazo ni matokeo ya tabia za mama zao
 
Wamama wengine wana tabia nzuri ila watoto tabia zao mbaya sana
 
Back
Top Bottom