asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,031
km ndiyo hivi basi itakuwa hatari,,,,,,,,, acheni ubaguzi wa kurithisha watoto tabia za wazazi wazi wazi namna hii.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe.
3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi.
Hii inaweza kua kweli,ila kwangu siyo kweli,
kuna mabinti wamelelewa na akina mama wanaojiheshimu ila wao ni tofauti kabisa,.
Kuna wengine mam zao ni micharuko ila ni wapole sana kutofautisha na mama.
Wapo watoto wa kike wengi tu wanaovutiwa zaidi na mienendo ya baba kuliko mama.
kuna wanaume wanaoendesha ndoa kwa msaada wa mama zao, hao ndo sumu
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe.
kwanini mama mkwe?
1. Mama mkwe ndie aliyemlea mkeo mtarajiwa kwahiyo mchumba wako atakuwa ameiga na kufundishwa kuwa na tabia kama mama yake
2.Mara mwanamke anapoolewa Mshauri mkuu ni mama yake mzazi(napenda uamini hili) kwahiyo maisha yake kwenye ndoa yatategemea ushauri wa mamaye
3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi.
N.b mbasha kama angekuwa makini kumchunguza mama mkwe haya yote yanayomtokea asingeshangaa
sasa huo muda wa kumchunguza mama mkwe utaupata wapi?
Atakuwa anamtoa out mara mojamoja na kuchunguza simu zake, kuongea na marafiki zake ikiwa ni pamoja na kumdadisi baba mkwe wake na ma x wake.
Kwa kila utafiti unaofanyika lazima uchukue sample na sio whole population.na utaconclude kwa kuangalia majority of sample na sio lazima sample zote zikubali.kiukweli asilimia kubwa(sio 100%) za tabia za wadada wanaadapt kutoka kwa mama zao.ndio maana utasikia wanawake wa kabila Fulani wako hivi na hivi.unadhani ni kwann sababu vizazi kwa vizazi wanaridhi tabia za mama zaosio kweli tena nakataa kwa ufahamu wangu wote,,,,,,halafu ifikie wakati haya mambo ya kurithi tabia tuachane nayo, eti unakuta mtu na vijitabia vyake vya ajabuajabu tu halafu utasikia watu wanasema kamrithi mzazi wake khaaaaa! sasa mtu mwizi, malaya, mwongo, mlevi n.k halafu anasingizia kurithi? mimi binafsi sikubaliani na hili.
Kwanza nikiri hili c jukwaa ninaloingiaga. Ila mleta mada yupo sahihi 99%. Mimi ni muhanga wa hii kitu. Mama mkwe wangu ameachika. Mimi nimemwacha mke wangu, naye ana dada zake wawili wote wameachika. Ukiangalia kwa karibu tabia zao zinafanana kabisa.
Yule mama amezaa na zaidi ya mwanaume mmoja. Tayari wale shemeji zangu wawili walioachika, mmoja mjamzito, mmoja tayari ana mtoto, na wote walipoachika tayari walikuwa na watoto kwenye ndoa zao za mwanzo. Mkuu mtvbase upo sahihi sana. Ahsante nitarudi kuona wengine wana maoni gani.
Asilimia 300 upo sahihi!Nimekumbana na hizi tafrani live bila chenga mpk nimejuta!Nilipochunguza nikajua binti ana-copy na kupest life la mama!
Nakuliana na mleta uzi kwa 100%
Tabia za mme ni Tabia za mkweo wa kiume,kama baba mkwe kicheche jua na mmeo atakuwa hivyo hivyo