Kweli umegusa hadi chumbani kabisa.Nami alijifanya nakupenda ..sijui siwezi kukuangusha ...kumbe man ...nkamshitukia. WamEjaa sana!.tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:
Sasa mkuu tatizo liko wapi hapo?? Si tunafuata hoja iliyopo kwenye sredi... au watu wajitambulishe kwanza wanachangia kama wanawake au wanaume?? Maana maelezo yako yanaonekana kusupport kutokuwepo haja ya kumjua mtu jinsia, au bado sijakuelewa?
Funny Enough, hata MTM ID to me imekaa kike kike, so Jamaa anataka kutuambia akiwa Exposed Lamu/Pate Maeneo ya Mombasa lazima atatafu?oooh, kumbe! but kuna wanaume yeyote hapa jamvin unayemfahamu anatumia ID ya kike? Umejuaje kuwa wanaume wanatumia ID za kike?
thanks mkuu.....sina la kujibu kwani post tu inaonyesha umeguswa,Funny Enough, hata MTM ID to me imekaa kike kike, so Jamaa anataka kutuambia akiwa Exposed Lamu/Pate Maeneo ya Mombasa lazima atatafu?
Lakini Mkuu, hata the Boss inawezatumiwa na Mwanamke,may be hiyo Picha yako ndo ina Reveal Jinsia yako.Mkuu hi thread ilikuwa bado nianzishe..
Umeniwahi mkuu
yaani inashangaza na wengine wanaona sifa kusema wana id za kike
funny .....
Sijui wana kuwa vipi comfortable na themselves
Labda Mkuu utueleze ID za Kike ni zipi na kiume ni Zipi, hauwezi ukaanza ku blame kama huna Benchmark ya ID, mathalan, Bint akijiita Speaker sie tutajuaje kama ni Mwanaume au Mwanamke, na je ,vp kuhusu Dada zetu wanaotumia ID za Kiume humu ndani,tuwaiteje nao?thanks mkuu.....sina la kujibu kwani post tu inaonyesha umeguswa,
wakuu wamenielewa, na wahanga wameanza kueleweka!! :dance:
wenye kuelewa walielewa na wakachangia, wewe unayesahihisha pia waweza toa unachodhani..... my thread was directed to men pretending to be women and are clearly seen especially in poking and sneaking....Labda Mkuu utueleze ID za Kike ni zipi na kiume ni Zipi, hauwezi ukaanza ku blame kama huna Benchmark ya ID, mathalan, Bint akijiita Speaker sie tutajuaje kama ni Mwanaume au Mwanamke, na je ,vp kuhusu Dada zetu wanaotumia ID za Kiume humu ndani,tuwaiteje nao?
Kuwa Muelewa Mkuu, na jaribu kusahihisha Thread yako
Your message is Clear Bro, but you could make it more clearer, thanks for your quick understandingwenye kuelewa walielewa na wakachangia, wewe unayesahihisha pia waweza toa unachodhani..... my thread was directed to men pretending to be women and are clearly seen especially in poking and sneaking....
as for wadada, you could start your thread on that.......
Thanks anyway for "correcting" my thread
The message still holds water
Kwa nini basi aliyeweka avatar ya kike isichukuliwe kuwa anapenda wanaume?inategemea mnyama kaka pozi gani kama mnyama anateswa ni sadist kama mnyama anavutia ina mana anapenda wanyama na nature pia.