Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Mkuu hi thread ilikuwa bado nianzishe..
Umeniwahi mkuu

yaani inashangaza na wengine wanaona sifa kusema wana id za kike
funny .....
Sijui wana kuwa vipi comfortable na themselves
 
Sasa mkuu tatizo liko wapi hapo?? Si tunafuata hoja iliyopo kwenye sredi... au watu wajitambulishe kwanza wanachangia kama wanawake au wanaume?? Maana maelezo yako yanaonekana kusupport kutokuwepo haja ya kumjua mtu jinsia, au bado sijakuelewa?

Mkuu
MTM ametoa mwongozo kuwa "Kujitwisha jinsia ya kike il-hali ni mwanaume ni dalili za . . . ."
Mwanaume aje kwako na kudai ana mimba ya mwezi mmoja, anataka ushauri aitoe, utasema muhimu ni ushauri alioomba??
Isitoshe hapa JF hazuiwi mtu kuigiza jinsia zote mbili, lakin kwa kufanya hivyo ni ishara unataka kuchezea akili za watu (mfano leo unadai umeolewa, kesho una mke). Na matokeo yake utapata ushauri wa kuchezea akili yako pia.

Nadhani hatijafikia dunia ya kuigiza jinsia zote mbili na ukaonekana wa kawaida.
 
Wengine wanajijua kabisa wana hizo hormones lakini bado wanajitutumua kuwa wanaume tu, sababu ya kuogopa jamii, hivi huyu anayejificha kwa kuogopa na yule anayejitangaza hadharani ni yupi ana afadhali?
 
mmh!! naona leo MTM kaamua kuvunja ukimya ,
kaamua kuwaambia ukweli wanaume wanaotumia ID za kike,
 
oooh, kumbe! but kuna wanaume yeyote hapa jamvin unayemfahamu anatumia ID ya kike? Umejuaje kuwa wanaume wanatumia ID za kike?
Funny Enough, hata MTM ID to me imekaa kike kike, so Jamaa anataka kutuambia akiwa Exposed Lamu/Pate Maeneo ya Mombasa lazima atatafu?
 
mmh!! naona leo MTM kaamua kuvunja ukimya ,
kaamua kuwaambia ukweli wanaume wanaotumia ID za kike,
kuna mtu amekua akinighasi sana, tena with lots of "massaging statements"
 
Funny Enough, hata MTM ID to me imekaa kike kike, so Jamaa anataka kutuambia akiwa Exposed Lamu/Pate Maeneo ya Mombasa lazima atatafu?
thanks mkuu.....sina la kujibu kwani post tu inaonyesha umeguswa,

wakuu wamenielewa, na wahanga wameanza kueleweka!! :dance:
 
Mkuu hi thread ilikuwa bado nianzishe..
Umeniwahi mkuu

yaani inashangaza na wengine wanaona sifa kusema wana id za kike
funny .....
Sijui wana kuwa vipi comfortable na themselves
Lakini Mkuu, hata the Boss inawezatumiwa na Mwanamke,may be hiyo Picha yako ndo ina Reveal Jinsia yako.
 
Lakini Mkuu, hata the Boss inawezatumiwa na Mwanamke,may be hiyo Picha yako ndo ina Reveal Jinsia yako.
wanasema attack is the best form of defence... and now we see who is defending aggressively!!!

tic tac, yeah dont stop
 
thanks mkuu.....sina la kujibu kwani post tu inaonyesha umeguswa,

wakuu wamenielewa, na wahanga wameanza kueleweka!! :dance:
Labda Mkuu utueleze ID za Kike ni zipi na kiume ni Zipi, hauwezi ukaanza ku blame kama huna Benchmark ya ID, mathalan, Bint akijiita Speaker sie tutajuaje kama ni Mwanaume au Mwanamke, na je ,vp kuhusu Dada zetu wanaotumia ID za Kiume humu ndani,tuwaiteje nao?
Kuwa Muelewa Mkuu, na jaribu kusahihisha Thread yako
 
wenye kuelewa walielewa na wakachangia, wewe unayesahihisha pia waweza toa unachodhani..... my thread was directed to men pretending to be women and are clearly seen especially in poking and sneaking....

as for wadada, you could start your thread on that.......

Thanks anyway for "correcting" my thread

The message still holds water
 
Your message is Clear Bro, but you could make it more clearer, thanks for your quick understanding
 
inategemea mnyama kaka pozi gani kama mnyama anateswa ni sadist kama mnyama anavutia ina mana anapenda wanyama na nature pia.
Kwa nini basi aliyeweka avatar ya kike isichukuliwe kuwa anapenda wanaume?
Je, wanaume wa JF walioweka avatar za wanume wenzao, hawa vipi, wanapenda wanaume?
Any way, kuna ukweli kwenye maelezo ya mwanzo kuwa tabia za watoto wadogo wa kiume zinaweza kuonesha power ya "femenine hormones" katika anatomy yao, lakini kuihamishia kwenye avatar za JF.... nina wasiwasi na kuna maswali mengi ya kuuliza.
 
Back
Top Bottom