Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,849
11,219
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo

Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu

Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala

nawakilisha and no harm intended
 
oooh, kumbe! but kuna wanaume yeyote hapa jamvin unayemfahamu anatumia ID ya kike? Umejuaje kuwa wanaume wanatumia ID za kike?
 
Eti ee, kwani hapa jamvini ni kama nani mwenye kiashiria cha ke wakati ni me.
 
Aisee, haina haja ya kutajana kwani kwa sheria za JF hiyo ni name calling.... ila ujumbe umefika aisee
 
Hii hata mimi naliunga mkono,huwezi kuwa wewe ni mwanaume na unajisikia fahari kuwa mwanaume halafu una ID ya kike!!!!Wapo humu na wanajijua,wataalam wameyazungumza sana kwenye tafiti zao mambo haya,hawa wana mambo ya kike bila kujijua na baadhi wanajijua!!!!
 
tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:
 
tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:
Hii ni laana ndugu yangu!Mwanaume aliumbwa na kupewa sifa ya kipekee na Mungu halafu wanafanya ujinga!
 
tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:

kiukweli MTM, hii tabia inakera sana,
mwanaume rijali kabisa huwezi fanya upuuzi huu,
yaani unajifanya wewe ni mwanamke ili iweje, unataka kuwasanifu madume hapa au?
hii tabia imekomaa sana hapa jukwaani kiasi kwamba sasa inaboa,

Mtu huoni haya hata kidogo kupenda kujibadilisha jinsia?
Nadhani kama ulivyosema MTM, pengine ushoga ndo unawanyemelea kimtindo..........................
 
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo

Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu

Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala

nawakilisha and no harm intended

Umeongea kila kitu
Niliwahi kupata wazo la kufungua ID ya kike, ishu ikaja kwenye utekelezaji wake.
Kila nikiwaza kuanza kutekeleza wazo kwa vitendo naanza kupata kizunguzungu, nikawa sijui ni kwanini
Huwa najiuliza, hawa wanaume wenye ID za kike wanazitumiaje??
Hata sielewi kabisaa?
Hivi uanaume wao ni upi hasa??
Kuota hizo jinsia male au??
 
Na wanawake wenye majina ya kiume nao vipi?!!

Mkuu MTM, lakini hapa si tunasema tunafata hoja za members na siyo nani anayechangia, au..??

Kama ni muhimu kutambuana kwa jinsia, vipi characteristics nyingine za maumbile na asilia kama - umri, kabila, rangi, urefu, n.k... je nazo zitakuwa muhimu kuzitambua?!

Wakuu mmejikuta mnasarandia madume nini... lol :)
 
Mkuu
Mi nadhani ishu si majina, maana majina mengine hapa hayana dalili za jinsia yoyote
Pia ni muhimu kujua jinsia ya anaechangia. Umri, urefu, rangi, kabila n.k. havina maana kabisa hapa labda kama wewe mwenyewe unataka kujua mtu fulani, na inapaswa uende nae PM.

Mfano umechangia mada ya Mbu ukaelezea uzoefu wa kuishi ya mkeo alivyokuwa muongo
Then ukaja kwenye mada ya MTM ukadai unapenda uolewe na mwanaume wa kimasai
Na kama vile haitoshi, unaomba ushauri wa kula uroda na baba mkwe wako. Mara unaanzisha thread ya kutafuta mke??!!
Sasa wana MMU waelewe unazo jinsia zote mbili au?
 
MTM,

Pia aina ya uvaaja.Mathalani wewe umevaa shanga shingoni.Huoni hiyo ni dalili ya kuwa na chembe chembe za jinsia ingine?
Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu MTM wamekuudhi nini tena hao?
Nenda nao mpaka uone mwisho wao,
 
na wanawake wenye majina ya kiume nao vipi?!!

Mkuu mtm, lakini hapa si tunasema tunafata hoja za members na siyo nani anayechangia, au..??

Kama ni muhimu kutambuana kwa jinsia, vipi characteristics nyingine za maumbile na asilia kama - umri, kabila, rangi, urefu, n.k... Je nazo zitakuwa muhimu kuzitambua?!

Wakuu mmejikuta mnasarandia madume nini... Lol :)
ni kweli mkuu, ila with mmu and relatde issues, hii ya gender/sexual orientation becomes an issue
 
MTM,

Pia aina ya uvaaja.Mathalani wewe umevaa shanga shingoni.Huoni hiyo ni dalili ya kuwa na chembe chembe za jinsia ingine?
Naomba kuwasilisha.
yawezekana kabisa, ila hilo naomba niwaachie wenyewe, mie nakomaa na ID tu
 
Back
Top Bottom