Tabia ya kuhonga Wanawake...

Mbwembwe nyingi, Mtu Mwenyewe unachoonga Ni viazi na broiller?


Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??

Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)

Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
 
inategemea waitoa hyo hela(kama wazungumzia hela) au zawadi katika mazingira gan?
Mazingra ndo yatafanya uonekana watoa hongo au wanunua huduma..
Upo Boflo ?
 
Last edited by a moderator:
Kuhonga ni sawa sawa na kutoa rushwa, na wamelaniwa wanao toa rushwa na wanao pokea rushwa....Ramadhan kareem :biggrin1:
 
Hebu tuhongeni bana kwa raha zenu, mwanaume anasifiwa kwa moyo wa kutoa lol!
 
Kuhonga Rukhsa almuradi tu iwe kwa mtindo wa Nipe Nikupe, kama anavyosema malenga wetu huyu:

Nipa na mimi nikupe, kupana ni kupeana,
Leo nasema kweupe, si usiku ni mchana,
Ni kwa vyangu unenepe, hutaki kugawizana,
Nye.ge ni kunye.gezana, nye.geza nikunye.geze.


Nyegeza nikunyegeze, nyege ni kunyegazana,
Wataka nikunoneze, hutaki kunonezana,
Nikisema nipuuze, vipi mwenzangu wanuna!
Gawa ni kugawiana, gawa na mimi nigawe.
[Amri Abeid - Sauti ya Kiza]
 
Hahahahah lol! Unapenda kuhonga vitu gani? Ila wadada wengine wanapenda kutumia "kubadilishana zawadi" kwa wapendanao badala ya kuhonga ambalo wanaona kama limekaa kichangu doa.

Ukimpenda binti basi kamwe huoni tatizo kumpa zawadi ya aina yoyote ile ali mradi tu iko ndani ya uwezo wako. Tena unatoa huku unafurahia.



Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??

Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)

Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
 
Last edited by a moderator:
Maskini Boflo kumbe bado unahonga!! Wenzio wanapata huduma bure kabisa hii hujulikana kitaalamu kama 'kabobo' uwezo wa kuongea na kuimbisha.
 
Last edited by a moderator:
c'moon mzabzab you know i got it!!satsfaction guaranteed you wont want nuthn more..hahaha...

phina phina phina, umemkimbiza mzabzab kwa hiyo seduction yako hadi amekuwa unconfortable. LOL

Halafu inapendeza mwanaume akiishiwa maneno. Me love it!
Kudus girl!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom