Tabia ya kuhonga Wanawake...

kuhonga ndo mpangoma,unahonga halafu baadae unasimamia kama baiskeli...
 
even though its seem healthy to be a two way system rarely do that work on 50 to 50 ratio....the man will always give more than the chick but then its said "the more you give the more you receive"....that the modern rule of kuhonga type of relationship
 
Mwanamke anaetoa nguo kwa sababu kahongwa hafai hata kwa chai ya rangi!
 
Mwanamme wa kweli hali bure
kweli kabisaaaa tena anajivunia UANAUME wake kwa kuhonga pesa nyingi kama wewe ivi.Mwanaume siku zote anatakiwa kuwa kichwa bwana sio kuanza kujilamba kwa mwanamke eti ampe pesa shame upon you unayesoma uliezoea kumfanya mpenzio wa kike buzi
 
Mwanamke anaetoa nguo kwa sababu kahongwa hafai hata kwa chai ya rangi!
NA MWANAUME ANAYEFUNGUA ZIPU YA SURUALI KWA SBB YA KUHONGWA ANAFAA? unless mtoa mada anazungumzia machangu na sio wapenzi hiyo issue ingine
 
Labda nikuulize Boflo kuhonga kwani imekuwa deni siku hizi au unahonga unapojisikia,mwenzio nilishaambiwa usiponihonga leo usikanyage nyumbani kwangu...
 
Last edited by a moderator:
Boflo hii ni bonge la topic, najua wanaume wengi inatuuma sana kuona madem wanakula mpunga wetu. Binafsi hii kitu imenipasua kichwa saana, kila Dem hata kama ataanza kwa pozi hataki pesa mwisho wa siku atakupiga mzinga wa maana. Kuhusu, kuhongwa nilishawahi ila nikaona kama naweka uhuru wangu sokoni, so nikaachana na hizo. Mwanamume piga kazi pata pesa kula na umpendae. Wahenga walinena starehe gharama, though neno kuhonga limekaa kiwizi wizi flani, jichukulie poa tu kuwa umeamua kupata burdan ukizingatia maisha yenyewe ya kisanii sanii tu.
 
mkuu umenena kauli nzito.........watu kama ww ni wachache sana hapa jf....respect 2 u
 
Back
Top Bottom