Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,110
- 18,327
TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
Mambo yafutayo ni kweli yananikera.
1. Chumba cha mke na mume kuwa chumba cha kuingia kila mtu. House girl, watoto etc..
2. Kumtukamna mke mbele ya watoto tena sometimes unatawatuka wote ( changanya).
3. Kumwadhibu mwenzio mkeo au mkeo kwa kununa, kukata msosi (tabia mbaya sana hii).
4. Kumwadhibu mwenzio kwa kunyima ile kitu (mnajua).
5. Kumfananiisha mke na watoto ( mfano ,wajinga kama mama yenu??).
6. Kutoboa siri za ndoa saluni (wanawake).
7. Kuliza habari za ujana za mkeo au mumeo wakati mumesha oana (upuuzi).
Mimi ni haya wewe ni yapi??