dhahabuinang'aa
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 134
- 28
zamani hii taasisi iliheshimika sana,mtu kuomba aiongoze alijiuliza maswali mengi kabla ya kuchukua uamuzi.
kwa bahati mbaya siku hizi chama cha mapinduzi kinaongozwa kwa hela na ili uchaguliwe lazima upenyeze kitu kidogo.kibaya zaidi yule anaemtangaza rais ni mtumwa wa ccm <kibaraka> viongozi wengi wa ngazi za kuchaguliwa tunachaguliwa na nec na sio chaguo la wananchi.
rais tulienae kwa sasa yeye aliutamani urais kwa sifa bila kujua kazi za rais na majukumu yake.
amesababisha mtu anaweza kutaniwa hata na mpenzi wake kuwa anafaa kuwa rais unashangaa kesho anatangaza nia.
kwani wanaona kumbe ukiwa rais we kutalii tuu kwenye nchi za watu!
kwa sasa huu umekuwa ni URAHISI na sio urais.
je! heshima ya hii taasisi tutairudishaje?
ukizingatia mtu au chama akiwa madarakani na uchafu alioufanya atafanya awezalo ili amweke mtu wa kuja kuficha ule uchafu wake!?
vijana hii nchi hakuna mwenye hatimiliki ni yetu sote tuamke tuikomboe nchi yetu.
tumpe mtu mwenye upeo wa kuona mbali na mwenye uchungu na hii nchi.
tusimpe mtu ili eti akalipe visasi vyake kwa wabaya wake.
kijana funguka kila uendapo kuwa mwl wa uraia wananchi waijue haki yao.
jiulize ni lini hapa rais amekuja Tanzania kuitembelea!?
mwenyezi kiguunanjia wageni wamkute nani?
watanzani/nec walichagua sura.kiongozi wa nyota mtawala wa anga mtalii.
tubadilike na tujue umhim wa kura yako 1 ina umhim mkubwa sana na wataona aibu kubadili matokeo kama wamepitwa mbali.
jiulize kama mwanzo vijana hata wakubwa kama walikurupuka na kutangaza nia kama sasa!?
thamani ya urais imeshuka.
kwa sasa ni URAHISI:
Tanzania nchi tajiri wananchi wake masikini na wenye nchi matajiri.
maana siku hizi kuna watu bila hata chembe ya aibu wanaroka kuwa eti!!
hii nchi ina wenyewe!!
Mtanzania mwenye macho haambiwi tazama!.