Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,340
- 51,893
Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa katika ulimwengu wa kiislamu, kwa Samia kushika nafasi ya urais.
Akitanguliwa na
AMEENAH FAKIM, Rais wa Mauritius, 2015 – mpaka sasa,
Kisha
ROZA OTUNBAYEVA, Rais wa Kyrgyzstan, 2010-2011,
Halafu
ATIFETE JAHJAGA, President of Kosovo, 2011-present,
Hii ní rekodi ambayo kila baba angetamani itimizwe na binti yake. Hongera sana Rais Samia. Sio jambo dogo.
Jioni njema