Taasisi ya TWAWEZA yazindua ripoti yake kuhusu Demokrasia, Udikteta na Maandamano

Haya ndio majibu ya kiutafiti.

kama hukubaliani fanya utafiti wako.

Ndio maana Kitila anasema tumekuwa taifa la kijinga kabisa. watu wanapinga kila kitu hata vitu vya kitaalamu.
Zipo taratibu za kisayansi za kufanya utafiti. Kama hakuna ushahidi kwenye ripoti kwamba taratibu hizi hazikufuatwa, matokeo ya huo utafiti hayakubaliki katika jumuiya ya watafiti, hata Mitume wakikubali. Utafiti sio imani ya kiroho, ni sayansi.
 
Back
Top Bottom