Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

Status
Not open for further replies.
Kwa sentensi yako ya mwisho kuna uwezekano leo CDM mkasupport sheria ya mtandao.
sheria ya mtamdao ina nafasi yake nzuri. Kuna vifungu ambavyo ni laana. by the way mimi siyo CDM. Nataka haki na usawa vinapohitajika!
 
Hujui kuzusha uongo wewe . Mbona hawasema chochote kuhusu Mbowe badala yake wanaongelea mambo ya Ndesapesa?
 
Mkuu Mimi ni CHADEMA lakini sidhani kama hiyo screenshot ni original, nahisi ni yakutunga kwasababu zifuatazo
1.Aliyepiga hiyo screenshot ndiye aliyetengeneza hiyo Audio, hata kama alikuwa anawageuka wenzie asingeweza kuvujisha hyo screenshort ikionyesha dhahiri kuwa yeye ndiye amepiga hiyo screenshot
2.Ukiangalia mda utagundua kuwa chats zimetengenezwa leo 10:02 na sasa hivi ni 11:13

Sidhani kama aliyevujisha anaweza kuwa na akili kama za DAB, maana yeye ndio zero brain wa kufanya haya mambo

Mbowe kuwa na mahusiano na wema sio kosa wala sio dhambi japokiwa Audio inaweza kuwa ya kutengeneza

Time will tell
 
D
084bb28840b435a9350e974602751afb.jpg
teh teh jamaa ana #tb matata sana, kumbe hii na wema ni muendelezo tu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom