Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1695710967989.png

1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL.

2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of network operations and maintenance(HNOM), lakini fedha hizo zinabanwa, zinatumika maximum 20%, halafu 80% "inarudishwa Wizarani" kila mwaka, lakini haifiki Wizarani.

3. Wakandarasi wa SASKATEL kutoka Canada, kwa ajili ya kuendesha TTCL,walianzisha muundo wa uongozi ambao ulileta vikwazo vingi vya uwajibijaki kati ya makao makuu na mikoa (prohibitive accountablity framework).

4. Mkurugenzi wa TTCL, Dr. Kamugusha Kazaura, alipoingia TTCL hakuzifanyia kazi institutional power struggle politics, na hivyo zikamwondoa kizembe. Lakini, pia ameacha amesaini mkataba na kampuni ya kukodisha minara inayoitwa Helios, mkataba ambao hadi sasa unaifanya TTCL kudaiwa deni kubwa kuliko mapato yake ya mwaka mzima.

5. Mkurugenzi wa TTCL, Waziri Kindamba, alipoingia akafuta mfumo wa uwajibikaji, na akawa anaendesha kampuni kikachero. Akaajiri watu anaowataka yeye bila kupitia Idara ya Utumishi. Wakosoaji wake wengi wakafunguliwa majalada ya uhujumu uchumi, na wengine kuhamishwa pembezoni mwa Tanzania. Kati ya kesi za kipolisi za kubumba zilizofutwa kwa agizo la Rais Samia, baadhi ziltengenezwa na Kindamba kupitia TTCL. Akawa anatamba kwamba yeye ni mwamba kwa kuwa Rais Samia ni Shemeji yake, yaani ameoa dada yake Samia. Hatimaye yakamshinda, sasa ni RC huko Tanga kwa waimba taarabu naye akiwa mwimba mashairi jukwaani.

6. Mkurugenzi wa TTCL, Mhandisi Peter Ulanga, ni miongoni mwa watu ambao wako vizuri "upstairs." Akipokea taarifa ya uchunguzi anaisoma dakika tatu, kuisahihisha, na ikikamilika anachukua hatua. Tatizo alianguka kwenye makorongo ya watangulizi wake. Lakini pia hakuwa na uthubuti wa kufanya Management by Walkig Around the Unit (MBWA TU)

7. Sasa hivi mashirika ya serikali kama vile Tanesco yanafanya malipo ya mamilioni kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo. Kuna tenda kama vile bandwidth management iliyokuwa imetolewa kwa Liquid Telecoms na baadaye wakanyanganywa, na TTCL wanao uwezo mkubwa wa kuitekeleza. Zote hizi ni fursa za kuiitegemeza TTCL lakini serikali haijaipa TTCL kipaumbele.

8. Tangu 2005, enzi za billimg system ya SOBS, hadi leo enzi za billing system inaitwa CVBS, TTCL haijawahi kuwa na Billing System iliyo na uimara, wala iliyo huru dhidi ya fraud, na financial leakages za kila siku.

9. Mapato mengi ya TTCL yanavuja kupitia mfumo wa kununua mafuta kwa kutumia vituo vya mafuta vya serikali. Huko kuna upigaji wa hatari. Na fraud scheme inayotumika bado inawawangisha vichwa hata wasimamizi wa vituo hivyo. Kuna umafia wa hatari unaendelea kupitia vituo hivyo.

10. Changamoto kubwa zaidi ni mtazamo wa Rais Samia kuhusu TTCL. Anasema imeshindwa biashara ya simu, na hivyo ifanye mambo mengine kama vile kusimamia mkongo wa Taifa. Lakini, hakuna Taifa duniani linaruhusu telecoms sector ianguke mikononi kwa sekta binafsi kwa silimia mia. Kiusalama hili ni tobo hatari. Lakini pia, TTCL wanaweza wakiwezeshwa na kusimamiwa vizuri.

11. Mapendekezo:

(a) Malipo ya mamilioni yanayofanywa na serikali kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo, yafanyiwe kazi.

(b) Wahusika wote waliosababisha deni la matrilioni ya Helios dhidi ya TTCL wasakwe na kubebeshwa zigo. Takukuru, FIU na interpol wapo kwa ajili hiyo.

(c) Tender ya bandwidth management, inayonyozungushwa mitaani na dalali mmoja wa kizanzibari, kwa sababu tu ya kutafuta asilimia kumi, isitishwa, wapewe TTCL, kwa utekelezaji.

(d) TTCL ifanye re-organisation ili kuborseha mfumo wa uwajibikaji (accountability framework)

(e) TTCL itafute billing system inayozuia fraud na financial leakages.

(f) TTCL ipewe Mkurugenzi mwenye kufanya kazi kwa mtindo wa "MBWA TU", yaani Management by Walking Around the Unit.

Nawasilisha

Mama Amon
Mkurugenzi Mtendaji
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
"Sumbawanga Town"
S.L.P. P/Bag
Sumbawanga
26 Sep 2023
 
Nikiri sijaelewa mengi kwa vile taaluma ya mawasiliano ni mahususi inayohitaji ujuzi mkubwa wa maarifa. Sema umeweka kirefu cha MBWA maana nilifikiri unatukana🤣🤣.

Bila shaka mchango wako utasaidia na pia niseme ni mmojawapo wenye kuamini nchi isijefanya kosa kuiachia sekta binafsi kutawala mawasiliano.

Mama amelegeza upendeleo maalum kwa TTCL aliyoanzisha magufuli pengine kwa kufuata ushauri mbaya ya vigogo wenye maslahi kwenye makampuni binafsi ya mawasiliano.
 
Mama Amon nashukuru Kwa bandiko lako !

Je ni taasisi biashara ipi hapa Tanzania efanikiwa

USSR
 
View attachment 2762662

1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL.

2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of network operations and maintenance(HNOM), lakini fedha hizo zinabanwa, zinatumika maximum 20%, halafu 80% "inarudishwa Wizarani" kila mwaka, lakini haifiki Wizarani.

3. Wakandarasi wa SASKATEL kutoka Canada, kwa ajili ya kuendesha TTCL,walianzisha muundo wa uongozi ambao ilileta vikwazo vingi vya uwajibijaki kati ya makao makuu na mikoa (prohibitive accountablity framework).

4. Mkurugenzi wa TTCL, Dr. Kamugusha Kazaura, alipoingia TTCL hakuzifanyia kazi institutional power struggle politics, na hivyo zikamwondoa kizembe. Lakini, pia ameacha amesaini mkataba na kampuni ya kukodisha minara inayoitwa Helios, mkataba ambao hadi sasa unaianya TTCL kudaiwa deni kubwa kuliko mapato yake ya mwaka mzima.

5. Mkurugenzi wa TTCL, Waziri Kindamba, alipoingia akafuta mfumo wa uwajibikaji, na akawa anaendesha kampuni kikachero. Akaajiri watu anaowataka yeye bila kupitia Idara ya Utumishi. Wakosoaji wake wengi wakafunguliwa majalada ya uhujumu uchumi, na wengine kuhamishwa pembezoni mwa Tanzania. Kati ya kesi za kipolisi za kubumba zilizofutwa kwa agizo la Rais Samia, baadhi ziltengenezwa na Kindamba kupitia TTCL. Akawa anatamba kwamba yeye ni mwamba kwa kuwa Rais Samia ni Shemeji yake, yaani ameoa dada yake Samia. Hatimaye yakamshinda, sasa ni RC huko wapi sijui.

6. Mkurugenzi wa TTCL, Mhandisi Peter Ulanga, ni miongoni mwa watu ambao wako vizuri "upstairs." Akipokea taarifa ya uchunguzi anaisoma dakika tatu, kuisahihisha, na ikikamilika anachukua hatua. Tatizo alianguka kwenye makorongo ya watangulizi wake. Lakini pia hakuwa na uthubuti wa kufanya Management by Walkig Around the Unit (MBWA TU)

7. Sasa hivi mashirika ya serikali kama vile Tanesco yanafanya malipo ya mamilioni kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo. Kuna tenda kama vile bandwidth management iliyokuwa imetolewa kwa Liquid Telecoms na baadaye wakanyanganywa, na TTCL wanao uwezo mkubwa wa kuitekeleza. Zote hizi ni fursa za kuiitegemeza TTCL lakini serikali haijaipa TTCL kipaumbele.

8. Changamoto kubwa zaidi ni mtazamo wa Rais Samia kuhusu TTCL. Anasema imeshindwa biashara ya simu, na hivyo ifanye mambo mengine kama vile kusimamia mkongo wa Taifa. Lakini, hakuna Taifa duniani linaruhusu telecoms sector ianguke mikononi kwa sekta binafsi kwa silimia mia. Kiusalama hili ni tobo hatari. Lakini pia, TTCL wanaweza wakiwezeshwa na kusimamiwa vizuri.

9. Tangu 2005, enzi za billimg system ya SOBS, hadi leo enzi za billing system inaitwa CVBS, TTCL haijawahi kuwa na Billing System iliyo na uimara, wala iliyo huru dhidi ya fraud, na financial leakages za kila siku.

10. Mapato mengi ya TTCL yanavuja kupitia mfumo wa kununua mafuta kwa kutumia vituo vya mafuta vya serikali. Huko kuna upigaji wa hatari. Na fraud scheme inayotumika badi inawawangisha vicha hata wasimamizi wa vituo hivyo.

11. Mapendekezo

(a) Malipo ya mamilioni yanayofanywa na serikali kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo, yafanyiwe kazi.

(b) Wahusika wote waliosababisha deni la matrilioni ya Helios dhidi ya TTCL wasakwe na kubebeshwa zigo. Takukuru, FIU na interpol wapo kwa ajili hiyo.

(c) Tender ya bandwidth management, inayonyozungishwa mitaani na dalali mmoja wa kizanzibari, kwa sababu tu ya kutafuta asilimia kumi, isitishwa, wapewe TTCL, kwa utekelezaji.

(d) TTCL ifanye re-organisation ili kuborseha mfumo wa uwajibikaji (accountability framework)

(e) TTCL itafute billing system inayozuia fraud na financial leakages.

(f) TTCL ipewe Mkurugenzi mwenye kufanya kazi kwa mtindo wa "MBWA TU", yaani Management by Walking Around the Unit.

Nawasilisha

Shadow DGIS (Mkurugenzi wa Usalama Kivuli)
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
"Sumbawanga Town"
SLP P/Bag
Sumbawanga
26 Sep 2023
Salute, umetisha sana.

Usilolijua ni kwamba hulifahamu.
 
Ukitaka ujue TTCL wanafeli hata vitu basic kaangalie space waliyokodi pale ubungo plaza vs space ya vodacom pale jirani alafu yupi ana engagement kubwa ya wateja. Liofisi likubwa bila sababu na huwezi kukutana wateja hata wawili! Hili shirika sijui nani kaliroga.
 
TTCL na TANESCO ni kitu kimoja tu. Sema huyu mmoja kalindiwa biashara. Siku moja tutakuwa na makampuni mengi ya umeme. Tutaangalia nyuma nyakati za TANESCo na kusema hiii!
 
View attachment 2762662

1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL.

2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of network operations and maintenance(HNOM), lakini fedha hizo zinabanwa, zinatumika maximum 20%, halafu 80% "inarudishwa Wizarani" kila mwaka, lakini haifiki Wizarani.

3. Wakandarasi wa SASKATEL kutoka Canada, kwa ajili ya kuendesha TTCL,walianzisha muundo wa uongozi ambao ilileta vikwazo vingi vya uwajibijaki kati ya makao makuu na mikoa (prohibitive accountablity framework).

4. Mkurugenzi wa TTCL, Dr. Kamugusha Kazaura, alipoingia TTCL hakuzifanyia kazi institutional power struggle politics, na hivyo zikamwondoa kizembe. Lakini, pia ameacha amesaini mkataba na kampuni ya kukodisha minara inayoitwa Helios, mkataba ambao hadi sasa unaianya TTCL kudaiwa deni kubwa kuliko mapato yake ya mwaka mzima.

5. Mkurugenzi wa TTCL, Waziri Kindamba, alipoingia akafuta mfumo wa uwajibikaji, na akawa anaendesha kampuni kikachero. Akaajiri watu anaowataka yeye bila kupitia Idara ya Utumishi. Wakosoaji wake wengi wakafunguliwa majalada ya uhujumu uchumi, na wengine kuhamishwa pembezoni mwa Tanzania. Kati ya kesi za kipolisi za kubumba zilizofutwa kwa agizo la Rais Samia, baadhi ziltengenezwa na Kindamba kupitia TTCL. Akawa anatamba kwamba yeye ni mwamba kwa kuwa Rais Samia ni Shemeji yake, yaani ameoa dada yake Samia. Hatimaye yakamshinda, sasa ni RC huko wapi sijui.

6. Mkurugenzi wa TTCL, Mhandisi Peter Ulanga, ni miongoni mwa watu ambao wako vizuri "upstairs." Akipokea taarifa ya uchunguzi anaisoma dakika tatu, kuisahihisha, na ikikamilika anachukua hatua. Tatizo alianguka kwenye makorongo ya watangulizi wake. Lakini pia hakuwa na uthubuti wa kufanya Management by Walkig Around the Unit (MBWA TU)

7. Sasa hivi mashirika ya serikali kama vile Tanesco yanafanya malipo ya mamilioni kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo. Kuna tenda kama vile bandwidth management iliyokuwa imetolewa kwa Liquid Telecoms na baadaye wakanyanganywa, na TTCL wanao uwezo mkubwa wa kuitekeleza. Zote hizi ni fursa za kuiitegemeza TTCL lakini serikali haijaipa TTCL kipaumbele.

8. Changamoto kubwa zaidi ni mtazamo wa Rais Samia kuhusu TTCL. Anasema imeshindwa biashara ya simu, na hivyo ifanye mambo mengine kama vile kusimamia mkongo wa Taifa. Lakini, hakuna Taifa duniani linaruhusu telecoms sector ianguke mikononi kwa sekta binafsi kwa silimia mia. Kiusalama hili ni tobo hatari. Lakini pia, TTCL wanaweza wakiwezeshwa na kusimamiwa vizuri.

9. Tangu 2005, enzi za billimg system ya SOBS, hadi leo enzi za billing system inaitwa CVBS, TTCL haijawahi kuwa na Billing System iliyo na uimara, wala iliyo huru dhidi ya fraud, na financial leakages za kila siku.

10. Mapato mengi ya TTCL yanavuja kupitia mfumo wa kununua mafuta kwa kutumia vituo vya mafuta vya serikali. Huko kuna upigaji wa hatari. Na fraud scheme inayotumika badi inawawangisha vicha hata wasimamizi wa vituo hivyo.

11. Mapendekezo

(a) Malipo ya mamilioni yanayofanywa na serikali kupitia Vodacom, Airtel, etc, wakati TTCL ya serikali ipo, yafanyiwe kazi.

(b) Wahusika wote waliosababisha deni la matrilioni ya Helios dhidi ya TTCL wasakwe na kubebeshwa zigo. Takukuru, FIU na interpol wapo kwa ajili hiyo.

(c) Tender ya bandwidth management, inayonyozungishwa mitaani na dalali mmoja wa kizanzibari, kwa sababu tu ya kutafuta asilimia kumi, isitishwa, wapewe TTCL, kwa utekelezaji.

(d) TTCL ifanye re-organisation ili kuborseha mfumo wa uwajibikaji (accountability framework)

(e) TTCL itafute billing system inayozuia fraud na financial leakages.

(f) TTCL ipewe Mkurugenzi mwenye kufanya kazi kwa mtindo wa "MBWA TU", yaani Management by Walking Around the Unit.

Nawasilisha

Shadow DGIS (Mkurugenzi wa Usalama Kivuli)
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
"Sumbawanga Town"
SLP P/Bag
Sumbawanga
26 Sep 2023
Upewe maua yako Mama Amon nimegundua kuna kitu cha ziada unakijua TTCL na inaonesha una utaalam na uzoefu mkubwa kwenye hayo mawanda.. Asante kwa elimu na uzalendo uliotukuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto kubwa zaidi ni mtazamo wa Rais Samia kuhusu TTCL. Anasema imeshindwa biashara ya simu, na hivyo ifanye mambo mengine kama vile kusimamia mkongo wa Taifa. Lakini, hakuna Taifa duniani linaruhusu telecoms sector ianguke mikononi kwa sekta binafsi kwa silimia mia. Kiusalama hili ni tobo hatari. Lakini pia, TTCL wanaweza wakiwezeshwa na kusimamiwa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapato mengi ya TTCL yanavuja kupitia mfumo wa kununua mafuta kwa kutumia vituo vya mafuta vya serikali. Huko kuna upigaji wa hatari. Na fraud scheme inayotumika badi inawawangisha vicha hata wasimamizi wa vituo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kindamba ndiye aliua ttcl alipeleka udini pale aliwaondoa wachapakazi kihuni Sana kids tu eti alimwona mtu kavaa rozali takatifu shingoni. Alaaniwe popote alipo na nguvu ya Kristo izidi kumwandama kwa udini
Yupo Tanga anakula samaki wakubwa tu,akiwa kama Mkuu wa Mkoa!!
 
Mkuu hapo upo sahii ila naona itachukua mda mrefu sana kuwa imara kwa utawala huu...haiwezi kushindana na makampuni binafsi
 
Kwa uelewa wangu mimi changamoto zote ulizozungumzia hapo ni summary tu ya matatizo na mapungufu ya mashirika na taasisi zote za serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom