Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!!

yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu.
Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao..
Hii kitu imekuwa ikijirudiarudia kwa muda mrefu sijui tatizo nini.


mimi huwa siangalii kituo hiki kabisa. habari zake haziko wazi
 
hivi nahisi wana mitambo ya kichina hawa jamaa,maana ni muda sasa makosa haya anatokea.ina maana wameshindwa kabisa kurekebisha hilo?
Aibu kweli asee ningekua mtangazaji pale ngejiuzuru

Nahisi wamekosa mtu wakuwaambia
 
Hili li TV likimeo sana, kijumla hamna kitu pale, hayo ndo matokeo ya kuwadharau watendaji wa ukweli na kuwapa wanasiasa.Alaumiwe JK na majungu yake.
 
Mkuu hiyo imetokea jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku wakati wanajiunga na msoma habari za biashara. Aibu!
 
yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu.
Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao..
Hii kitu imekuwa ikijirudiarudia kwa muda mrefu sijui tatizo nini.

daaaaaaaaaaah!!!1 hapo umenena best,aise imekuwa kama ndio ugonjwa wao!!! sijui kwanini hawlifanyii kazi hilo,jana usiku kwenye habari za biashara ilikua full mzinga uleule!!!!
 
kwa mimi niliye fanya kazi kwenye media kama hiyo,hawajamaa huwa hawana kitu kimoja kinaitwa,intercommunication,hiyo inamuwezesha msomaji kuwasiliana na director bila mtazamaji kujua,coz sikuzingine utasikia saut ya mtu anasema kwa suti ENDELEA STORY HAIPO!!! then utamuona msomaji anavyo hangaika!!! watamkumbuka tido,huyo jamaa waliye mpa sasahv yaani ndio hawezi kabisa!! kiukweli wanatuboa saaana!!! namitambo yao yakichina!!!!
 
Nimara chache sana watu watendaji serikalini hasa ktk ungozi wachama hiki mtu akawa mtendaji na akakubalika!Mf,Sokoine,Mwakyembe,Sita nawengine wengi.Wengi husukumwa nje!Kinachowaponza ni utendaji wao.
 
Kuchemka kwa watangazaji kupo lakini mafundi mahiri wanauwezo wa kuondoa picha iliyopo hewani na kuweka kitu kama tangazo na baadae ile habari ikasomwa upya. Lakini akichemka fundi ndo kinapotokea kichefuchefu! Mtangazaji anawaza kushauri kitu lakini anakumbuka kumbe yuko hewani. Hana cha kufanya anabaki kukenua mimeno! Hilo tisa kumi hawana vipindi vizuri vya michezo ya moja kwa moja yaani laivu kama wakati wa Tido! Basi mimi kuniuzi!
 
Back
Top Bottom