trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Mi ninamkubali sana Pendaeli Omari... Sijui yuko wapi jamaa yule..
yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu.
Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao..
Hii kitu imekuwa ikijirudiarudia kwa muda mrefu sijui tatizo nini.
hivi nahisi wana mitambo ya kichina hawa jamaa,maana ni muda sasa makosa haya anatokea.ina maana wameshindwa kabisa kurekebisha hilo?
Aibu kweli asee ningekua mtangazaji pale ngejiuzuru
Sio jana tu ni mara nyingi tu wanaharibu.Mkuu hiyo imetokea jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku wakati wanajiunga na msoma habari za biashara. Aibu!
Mi waliniudhi,walishindwa hata kuttuonesha soccer michuano ya club bingwa africa kule eq.Guinnea na Gabon.Private TV oyeeeeeeh!!!