Taarifa kwa Umma: Mh. Tundu Lissu kutoa elimu ya katiba kwa umma, kupitia ITV

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
2,344
1,771
Habari wana jamvi.

Imenimependeza kuabarisha umma wa Watanzania kuwa leo saa tatu usiku (09:00) Kupitia kipindi cha DK45 kinachorushwa na kituo cha television cha ITV, Yule gwiji la sheria nchini Mh. Tundu Lissu atakuwa akitoa elimu juu ya upatikanaji wa wabunge wa bunge la katiba na jinsi gani Raisi atakuwa anateua wabunge wa bunge hilo.

Ni sasa tatu (09:00) kwa saa ya Afrika mashariki

!!!!!!!!!!!!!!!USIKOSE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asante kwa taarifa!. Pia nakubaliana na wewe 100% kuwa Lissu ndie gwiji la sheria nchini, kwa sababu u gwiji nao ni relative, unafuata principles za relativity, kama ilivyo beauty iko with the eyes of the beholder!.
Tutakifuatilia kipindi hiki kwa makini, this also means we'll have to miss a bit of Jenerali on Monday!.
Pasco
 
Tatizo mnapa sifa ambazo azisitahili ki ukweli wakati mwingine huyo mnaemsema gwiji huwa anapotosha umma kwa kujifanya kwake anajua sheria sana.
 
JK: "Tatizo Lissu anazichanganya sana Sheria na anawachanganya na wenzake kwa vile wanamwamizi"
 
Lissu ndie mwanshirie mbishi wa hali ya juu ktk bunge la TZ, hajui lolote badala yake kupotosha umma kwa kujisifu.
R. Mzande kamliza mahakamani.
 
Kama unataka kujua Lissu ni gwiji wa sheri muulize jamaa moja kada wa ccm anaitwa Haimu huku Manyara atakwambia. Huyu jamaa alipinga matokea yaliyompa ushindi Dr. Slaa ubunge jimbo la karatu 2005 hivyo akafungua kesi mahakamani lakini lissu alisimamia ile kesi Dr. Slaa alishinda. Wakati wa malipo ya gharama ya kesi ccm wakamwachia mzigo Haimu ilibidi atume wazee wa mila kwa Dr. Slaa na Haimu akasema hata kulisikia jina Tundu Lissu hataki maana anaweza kukuuliza hata jina lako ukashindwa kuthibitisha.
 
Habari wana jamvi.

Imenimependeza kuabarisha umma wa Watanzania kuwa leo saa tatu usiku (09:00) Kupitia kipindi cha DK45 kinachorushwa na kituo cha television cha ITV, Yule gwiji la sheria nchini Mh. Tundu Lissu atakuwa akitoa elimu juu ya upatikanaji wa wabunge wa bunge la katiba na jinsi gani Raisi atakuwa anateua wabunge wa bunge hilo.

Ni sasa tatu (09:00) kwa saa ya Afrika mashariki

!!!!!!!!!!!!!!!USIKOSE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Khaa!! Gwiji?? Huyu Tundu Lissu aliyeleweshwa na Mbowe hadi akapindisha sheria makusudi? Ameitia aibu sana fani hii. Na hili hatengani nalo hadi kifo chake :typing:
 
Asante kwa taarifa!. Pia nakubaliana na wewe 100% kuwa Lissu ndie gwiji la sheria nchini, kwa sababu u gwiji nao ni relative, unafuata principles za relativity, kama ilivyo beauty iko with the eyes of the beholder!.
Tutakifuatilia kipindi hiki kwa makini, this also means we'll have to miss a bit of Jenerali on Monday!.
Pasco
ukimtukana Mbowe, nitanyamaza maana nitajua una chuki binafsi na mtu akimtukana Dr.Slaa nitamsamehe maana hajui analolitenda. Ila mtu yeyote yule atakemdharau tu Tundu Lissu atalaniwa na watanzania wa leo, kesho, kesho kutwa na milele daima.

NB: Taaluma yangu inazuia kutukana vinginevyo ningeukutukana matusi ambayo hujawahi kuyasikia. Leave us our TL,WE LOVE HIM, WE TRUST HIM,WITH HIM WE WILL GO FAR!
 
Back
Top Bottom