Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,350
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA HUO WA KISHENZI
Kuna tetesi kwamba DW na BBC watatoa live Mkutano huo .
Taarifa iliyosambazwa na chama chake inaonyesha kwamba atazungumza na vyombo vya habari mchana huu saa 9:30 kwa saa za Tanzania .
Awali , pamoja na kuzuiliwa amefanikiwa kuhutubia Mkutano kwenye kata moja kwa njia ya simu .
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi