Taarab: Special thread

Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.

Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
 
Sasa nawapa usiaaa
Mpendapo mtazame
Wengine si wanaume
Wengine magumegume
Rusha roho taratibu
Tena nyuma utazame
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ila mama Zuchu. Enzi hizo hata Zuchu hajulikani
 
Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.

Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
fatma nyoro huyu dada nmkubali ana sauti nzuri yeye ashura machupa pamoja na leila rashid
 
Back
Top Bottom