Taa izimwe isizimwe?

Mbona usijitafutie jiko lako mwenyewe...haya maswali ya kitoto ya taa iwashwe ama izimwe hayatajalisha sana! Imagine mmeshaanza then, mnakurupushana mkazime taa...!!Stori gani hizi..
ACHA UASHERATI..TAFUTA JIKO LAKO MWENYEWE!!!!!
 
Ushindwe.
 
Bado upo huko tu? wenzako tumeshakuacha!!
Duhhh!! jiko? ngoja wakuibukie wakina FL1 and Co
 
inatakiwa isizimwe ili kila hatua ionekane jinsi inavyokuwa hapo ndio raha kamili inakuwa kila mahali sio gizani
 
Ukifika wakati wa chakula cha usiku, wapo baadhi ya watu lazima taa izimwe,je ni aibu? au kuogopa kupigwa chabo? amini usiamini wapo wapenzi( si wanandoa)
ambao hadi leo hawajuani mwenzie yupo vipi. japo kila siku wanavunja amri ya saba.Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe? wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?

Tulikuwa tunalaumu Viongozi wetu kusign Mikataba bila Kusoma, leo nimejiridhisha kwamba Viongozi wetu ni Reflection yetu wenyewe

Nimefuatilia Mjadala kuanzia Mwanzo mpaka Mwisho nimegundua watu wanajadili mada ambayo Haipo

Mtoa Mada amezungumzia Amri ya Saba ambayo Inasema Usiibe sasa Nashangaa watu badala ya Kujadili Hilo wanajadili Habari za Mambo ya Chumbani

Mtu mmoja alisema kwamba Mwafrika akiamka asubuhi mkono wake unakuwa Ndani ya Pajama, leo nimethibitisha pasi na Shaka
 
mmh ... wee bi harusi taratibu! ... kitchen party tayari?? umeyajuaje haya?? :) :)

Ahahhahahahaha....madabwada! jina unalo si haba! sasa si unajua lazima preliminaries zifanywe kabla ya the actual match|!!
 
Ukifika wakati wa chakula cha usiku, wapo baadhi ya watu lazima taa izimwe,je ni aibu? au kuogopa kupigwa chabo? amini usiamini wapo wapenzi( si wanandoa)
ambao hadi leo hawajuani mwenzie yupo vipi. japo kila siku wanavunja amri ya saba. Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe? wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?

I hope ni amri ya sita! Maana wakivunja amri ya saba kila siku..
 
Kuna wakati mwingine inabidi ule tu ili ushibe.. sasa badala ya kumfunika mtu mfuko wa rambo usoni au kumziba kwa mto inabidi mzime taa tu.. ili usikumbuke alivyokuwa maana wengine wakiwa katika mazingira hayo kwa kweli... lets be frank.. wanatisha. I'd rather remember you with your clothes on!
 
mimi huwa nawasha taa tena tube-light tena wote tukiwa uchi wa mnyama. hapo ndo unao ile kitu inavyotia nanga na kutoka. wee acha tu.
 
Sijui watu huwa mnataka kuona nini ilhali hivi viungo viko makini kujua mwenzake yuko wapi. Je donda la kichwa mkaguzi wake sio mkono? Macho ya kazi gani iwapo ninyi wenywe mmeamua kula chakula usiku? Kama mnataka macho yapate kazi basi kuleni aidha jioni au mchana kabisa ambapo kama mnataka giza basi muingie shimoni. Kwa ufupi mkiamua kula chakula gizani basi kuwe na giza kweli na muiache milango mingine ya fahamu ifanye kazi. Iwapo mnataka milango yote ya fahamu ifanye kazi basi kuleni chakula wakati kuna mwanga wa MUNGU. TAA SIO IZIMWE BALI ISIWASHWE KABISA YA NINI KWANZA KWANI NI KWELI UNAIHITAJI?
 
Taa izimwe au isizimwe inategemea sana na hilo tendo linafanyika wapi,mfano sie tunaokaa uswazi ni muhimu kuzima taa kwani unaweza leta sinema ya mtaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom