Zengwe jingine hilo lina............ ha ha ha haaaaaaaaaaa, WE ARE STILL WATCHFULL mazeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Kampuni ya symbioni power imenunua mitambo ya dowans. Wana mpango wa kuingia mkataba na Tanesco ibaki nchini. Wanadai wamefanya uchunguzi wa kutosha na kuona mitambo inatunzwa vizuri. Wamepitia pia mchakato wa namna mitambo ilivyo ingizwa na hawahusiki na historia ya nyuma ya mitambo hiyo. Nahisi wataendelea kunukia kidowans dowaans. Habari cten
Kuna article kwenye ipp media inasema DOWANS inataka kuuzwa kwa kampuni nyingine ya marekani SYMBION.
Jamani tunachezeshwa mchezo huohuo kila siku mpaka lini.
Nimejaribu kufuatilia website ya hii SYMBION, pale chini imeandikwa "© 2011 Symbion Power LLC":
Kufuatilia domain yao ya symbion-power.com, naona umekuwa regisrered 2005 na inaexpire november mwaka huu 2011.
Halafu serikali inasema kuwa hii ndio kampuni itakayosaidia Tanzania kutoka kwenye tatizo la umeme?.....kweli jamani? experience ya hiyo kampuni iko wapi?
-----
Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, David Jairo anasema kuwa discussions zimefikia final stage Discussions have reached the final stage, and we expect to unveil more details on the acquisition of the Dowans plant today,
Wakati kwenye hiyo website ya SYMBION inasema kazi ilianza August mwaka jana "True partnership drives everything we do. The result has been successful transmission line, substation, and training projects in the challenging construction environments of Iraq and Afghanistan and new work in Tanzania that began in August 2010."
Akija January wakowapi? mbona hatukuisikia hii SYMBION miezi ile tulipokuwa tunalia na kuilipa DOWANS?
Halafu ukiangalia profile za owners Symbion Power, wamekaa ki CIA CIA tu....kuna kuzalisha umeme kweli hapo?
- Chairman wa hiyo SYMBION power holdings ana distinguished military career as an Officer in the Scotts Guards and for the British Special Air Services (SAS).
-CEO wa kampuni yupo hivi Since 2003 Paul has been at the forefront of US wartime contracting efforts.
- Chairman wa african branch/tanzania nae He also served as Special Assistant to President Clinton in charge of African Affairs at the national Security Council.
Kwa hiyo na umeme tunaupataje tenaa?
Inaonekana sekta ya kuzalisha umeme Tanzania inapendwa na makampuni yanayoongozwa na waliopitia ktk masuala ya ulinzi na usalama. Dowans Ali Hadaiwi alikuwa brigedia wa jeshi la Omani akishikilia masuala ya ulinzi wa Sultani wa Omani.
Hawa Symbion Power viongozi wake wa juu mmoja ana nishani ya kutukuka kwa ujasiri wake wa kutumikia vikosi maalumu vya Uingereza na mwingine alikuwa mshauri wa masuala ya usalama ktk baraza la ulinzi huko USA.
Overview
Progress through partnership.
Symbion Power was built on a foundation of partnership and cooperation. Even our name a derivative of the word Symbiosis reflects the cooperative relationship we maintain with key suppliers, local partners and subcontractors.
Balancing Progress and Security.
With considerable experience working in the dangerous environments of Iraq and Afghanistan, Symbion brings a unique methodology to every project. Our experienced security teams and our engineers work hand-in-hand with our clients to make careful judgments that facilitate both progress and safety.
We draw extensively on the experience of our partner Hart Security Limited.
Nothing is more important than the health, welfare, and safety of our staff, our partners, our subcontractors, and the people that make our work possible.
Always Ready to Adapt.
At Symbion, we understand that circumstances on the ground can change quickly. Thats why weve built a dynamic organization that is always ready to adapt.
In the United States, Europe the Middle East, Africa and Asia weve built lasting relationships. Weve partnered with manufacturers for equipment-specific training through Symbion Power Centers, our own training schools, in northern Iraq and Kabul, Afghanistan. A training school will be established in Tanzania in 2011. We understand that our success and our progress are inextricably linked, and we take great pride in our work.
A U.S. Company with a World of Experience.
The Symbion management team has extensive experience in the design, engineering and the procurement and construction of complex international electricity projects. Their combined experience covers work in the United States, Africa, the Middle East, Europe and Asia and Australia.
Symbion has partnering agreements with major manufacturing and contracting companies, including one of the worlds leading equipment suppliers, Alstom Grid, for substation, power, transmission and distribution projects. In Tanzania Symbion is partnered with leading US transmission and distribution contractor Pike Electric Inc.
Symbion is a U.S. company with offices and subsidiaries in Washington, D.C.; Delaware, USA; Limassol, Cyprus; Cape Town, South Africa; Dubai, U.A.E.; Baghdad, Iraq; Erbil, Kurdistan; Port-au-Prince, Haiti; Dar es Salaam and Morogoro, Tanzania.
Leadership:
Chairman Symbion Power Holdings
Lord Richard Westbury MBE
Lord Westbury had a distinguished military career as an Officer in the Scotts Guards and for the British Special Air Services (SAS). A pioneer of the security industry, Lord Westbury was formerly the Deputy Chief Executive of The Leadership Trust and the Chief Executive Officer of Defense Systems Limited (DSL), one of the earliest and most successful international security companies headquartered in London. He is the founder and chairman of Hart Security.
Chairman, Symbion Power Africa
Ambassador (ret.) Joseph Wilson
Ambassador (ret.) Joseph Wilson serves as the Chairman of Symbion Power, Africa. Ambassador Wilson has extensive experience in Africa, the Middle East, and Europe. As an American diplomat, he served as Ambassador to Gabon and Sao Tome and Principe in the administrations of Presidents George H.W. Bush and Bill Clinton. He also served as Special Assistant to President Clinton in charge of African Affairs at the national Security Council. In addition to Gabon and Sao Tome and Principe, Ambassador Wilson also served in Niger, Togo, South Africa, Burundi, and Congo (Brazzaville).
Source: Symbion Power
Ndio yeye hujakoseaAmbassador Joseh Wison - siyo ambaye wakati wa Iraq war ilipoanza aliandika ripoti iliyoumbua serikali ya George W Bush kuhusu madai yao ya uranium in Niger? Baadae serikali ya Dubya ilijibu mapigo kwa kufichua kuwa mke wake Wilson ni CIA agent. Kumradhi kama nimekosea ...
Hoja ya msingi. Kwa nini mitambo hii baada ya kunuliliwa isifungwe nchi nyingine? Kwanini Tanzania?