Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Unapouziwa umeme na muwekezaji lazima atakuuzia ile bei anataka yeye(maslahi yake kwanza).Serikali kupitia Tanesco watakaponunua umeme toka kwa Muwekezaji(SYMBION POWER)lazima na yenyewe itake faida.Mtumiaji wa umeme huo ni Mtanzania hivyo moja kwa moja lazima Mtanzania huyu ataunizwa na gharama zitakazotozwa(ambazo zilipitia ngazi mbili tofauti mpaka kumfikia).Nnaomba kuiuliza maswali Serikali ya Jakaya Kikwete :
Hivi ni kweli Serikali ya Jakaya Kikwete iliyopo madarakani kupitia ccm ILISHINDWA KUINUNUA MITAMBO HIYO YA-Dowans
Inaweza vp kupitisha bajeti ya mabilioni ya shilingi kwa ajili ya vitafunwa bungeni/maofisini(ambayo sio ya lazima)halafu Serikali hiyo hiyo ishindwe kununua mitambo ya Dowans?(ingekuza ukuaji wa pato la taifa kwa kuwa na umeme wa uhakika na wa bei nafuu)
Tume iliyoundwa na Serikali kuchunguza sakata la kampuni tata ya Dowans ambayo ilipelekea aliekuwa waziri mkuu Edwad Lowasa kujiuzulu,iltoa majibu kuwa Dowans ilikuwa ni kampuni ya KITAPELI(kampuni hewa)Je ni hatua gani nyie Kama Serikali mlivhukua?
Maswali yapo mengi niwaachie na wenzangu wachangie,ILA KWA KUSEMA UKWELI SERIKALI YA CCM HAMKUTAKIWA KUFIKA HUKU MLIPOFIKA KUHUSU SAKATA LA DOWANSI,MAAMUZI MNAYOYAFANYA YANATUATHIRI WANANCHI NA VIZAZI VYETU VIJAVYO mnaniuzi mbaya!!!!