Symbion Power acquires DOWANS Power plant

SYMBION POWER TURNS ON ELECTRICIT. $4.99 per Kwh..ambayo ni TSHS 23,389,128,000 per day.. Haya ni maajabu bora tukae bila kidatu
 
Wametoza Tanesco $4.95 Cents per kWh na sisi hapa tunalipa $12 Cents per kWh. Hii inaweza kuwa na sababu ya kwamba umeme wote ni wa Gas. Hapa tumechanganya na kulipa kama Average. Msimamo wangu ni ule ule kwamba hii topic inatokana na negativity tulizonazo kwa Richmond badala ya kuangalia ukweli na manufaa ya nchi. Kuna ushabiki kuliko ukweli kwenye hili sioni kibaya kilichofanyika hapa na huu ndiyo ukweli.
 
Mada yako imekaa kiudaku kweli kama si kishari, Dowans wameuza mtambo kwa symbion na tenesco wameingia mkataba wa kununua umeme kwa rate nzuri zisizo za kifisadi na hakuna capacity charges ulitaka CDM Wafanye nini hapo?
 
Suala la Symbion Dr Slaa alishalizungumzia. Fuatilia habari.
 
Al Adawi, kasema alisema mkitaka inunueni hamtaki iwacheni, mitambo kama hiyo inatafutwa duniani. Sasa, Al Adawi analipwa na Tanesco na mitambo yake kisha iuza kwa Symbion na kazi itafanya hapa Tanzania na kama hatutaki Hicks kishasema mitambo hiyo ni mobile na wanaweza kuipeleka kwingine. Kazi kwenu wapingaji wa kila kitu.

Chadema mbona kimya kwa hili?
 
Mimi sioni tatizo liko wapi, kampuni ni ya wamarekani na pesa ni za wamarekani, katika ule msaada wa dola 700 millioni, wameamuwa wazirudishe pesa kwao kwa style hiyo ya kutoa kwa mkono wa kushoto na kupokea kwa mkono wa kulia.

Naomba tusijipe vidonda vya tumbo bure, hiyo issue ni closed! na hapo ndipo sitoshangaa Lowasa kuwa mgombea urais wa ccm 2015, kwa sababu kama Lowasa anabebeshwa lawama za Richmond basi ni mitambo hiyo hiyo ndiyo ambayo Rais amesaini ili itumike Tanesco. i like this movie.
 
Bunge linakwisha na haya yanapi ta! Hivi tunasubiri Chadema tuuuu? Nini nafasi yetu kama wananchi wana JF wenzangu?
 
sasa kiko wapi? Hakuna cha mwakyembe wala nani. CIA are in charge now
Raha iliyoje kushuhudia live shooting ya movie ya Confessions of an Economic Hitman-nchini Tanzania?
confessions-of-an-economic-hitman.jpg

 
Back
Top Bottom