What are you trying to say bro? Wewe ni mnajimu a la Sheikh Y. Hussein hadi utabiri hili dili ya Symbion Power ni utapeli? Unataka kusema hakuna umeme utakaozalishwa na Symbion Power?
@ OneManArmyMan, I am not talking about unajimu ndugu na wala siamini kwenye unajimu. Ninachongelea hapa is something more serious na sii hii science ya ujima. In all probability Symbion watazalisha hizo megawatt 120 ila kumbuka ukifungua dirisha huwa unapata upepo lakini na nzi, mbu nao wanakuwa wageni wako!. Na ndio maana huwa tunaweka net kwenye madirisha. Symbion Power wataliza umeme and a lot more! Kwa taarifa yako HART group ambao ni shareholders wakubwa wa hawa Symbion wako Afghanistan, Baghdad wakitoa ulinzi huko (security).