AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 952
Unewataja majina kuliko kuanzisha speculationWanandugu habari zilizotufikia hivi punde baada ya kuonyesha makeke yake katika kuondoa uchafu na uozo wa b.o.t
kashfa nyingine imeikumba kampuni ya mizigo ya swisssport co ltd
vyanzo vya habari cvinaeleza hivi punde kuna baadhi ya watu walidiriki kwenda kwa meneja utawala kuongelea hali halisi ya mishahara yao na katika kujibishana na kuelekezana akapatikaana
mh mmoja akilalamika mbona watu wanalipwa pesa nyingi na uku
wamepata div 0 huku wengine tukiumia
katika maalamiko hayo meneja huyo alidiriki kumhakikishia kama ataweza kumtaja basi ataanzia kwa huyo muhusika
vyanzo vyetu vinasema mh huyo alipotajwa alipelekewa barua ya kuomba kujieleza elimu yake hapo ndipo shuguli ilipoanza
habari zaidi zinasema mh ilibidi amfwate meneja na kumweleza ukweli alidiriki kufoji kutafuta maisha na ndipo alipoakikishiwa hata saini tena mkataba akimaliza
katika mahojiano ya hivi karibuni baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakipelekewa barua za kujieleza kuhusu elimu zao na kufikiwa wengine kuacha bila hata kuaga
kwa maoni yetu hii kampuni imekuwa ikiajiri kila mwezi na kulipa mishahara midogo tungeomba serikali waifwatilie na kuiangali ili watu waweze kulipwa inavyotakiwa wakiachana na mtindo wa meneja mkuu kuamini ana uwezo wa kuajiri saa yote hivyo kujaza mafisadi na vihyo mbofumbofu
pili imefika wakati wa kuangalia vyeti vya wahusika na wote wakipatikana washugulikiwe ipasavyo na si kuahidiwa kutosaini tena mkataba
wenu
mwanampotevu