Swissport co ltd imejaa vihiyo watupu

Unenayo ni kweli tupu. Anaebisha ubaguzi wa wachaga ima atakuwa ni mchaga(hivyo anataka kupotezea) au hajafanya kazi nao. Binafsi nilikuwa ktk shirika ambalo mkurugenzi akuwa mchaga, aisey nilihama kazi. Tulikuwa senior offices kadhaa ambao ndani ya walikuwapo wachaga pia. Upendeleo wa wazi pamoja na baadhi yao kuwa na elimu ya kuungaunga. Kila decision iliyofanyika wao walikuwa wakiijua kabla ya kikao na walikuwa wakijifanya as if ni watabiri. Nilipoona hali inazidi nilimfuata mkurugenzi na kumpa live kwamba afanyavyo sio ethics za mgt.akanijibu "sikuajiriwa pale kwenda kutengua injili ila kuitukuza injili". Nikamjibu nimekuelewa mkurugenzi. Baada ya mwezi akashangaa barua ya kuhama shirika akaniita yy na kufanya mahojiano. Nikamjibu naenda kuitukuza injili kwingine. Kwa kifupi hawa ndugu naweza sema ndio pekee waliobaki ambao upendeleo wa kikabila umebaki damuni mwao. Wale rafiki zangu wa mbeya wamebadilika na wa kule nshomile pia wanabadilika kdgo japo si sana. Naamini hata mabadiliko yaliopo uchagani ni matokeo ta kubebana huku ambako kwa muda mrefu hakukuwa na uwazi wa kuexpose uozo kama hivi hali iliyowafanya wajazane kwenye mashirika kwa upendeleo na kupata mishahara minono ya kusomesha watoto wao kwenye shule nzuri na kujenga magofu matupu kule uchagani. God iz great kila mmoja sasa anaelewa kwamba hawa jamaa kwao utanzania ni sifa ya pili baada ya uchaga.plz wachaga badilikeni Tanzania ya leo imebadilija sana vinginevyo mtaanza kuiona nchi ngumu kwenu.
Acheni upuuzi..hyo makabila yenu ni taabu hata kuwa mwanafamilia uliyeafanikiwa....watu hujiachia sana kwa undugu tena wa mbali.....Umewahi jiuliza mtu akianza maisha familia fulanifulani tena iwa na vyumba viwili tuu ..anaweza kuwa na rundo kubwa kiasi gani la watu wanaomtegemea kuwapa kazi ktk office na kuwalisha....hiyo tuu inawakata miguu nyumbani..na inawafanya mjazane vibaya..hivi NSSF na udini wake ingekuwa ni ukabila wa wachaga sijui km msingeanzisha vita...
 
Kumekucha safi sana mkuu kwa mwambia ukweli huyo CHEUPE MEKU cc Ritz THE BIG SHOW Nicholas
Ulemavu wenu wa akili umeharibu hadi miili..na fikra..sasa hivi tunaajiri wahindi na mimi very soon nawapatia vibali kadhaa wanifanyie kazi ...hawana harusi,siju mgeni,sijui nini na nini..sijui shughuli..sijui disco....nikuwawekea tv ya pamoja, kuwapa usafiri wa kwenda out j2, kuwafanyia shopping hapo walipo hawana shida na mtu wala dili za nje. Siku hizi sisi ndipo huko tupo hata wakenya na waganda ni kwenu tuu.
 
Last edited by a moderator:
Acheni upuuzi..hyo makabila yenu ni taabu hata kuwa mwanafamilia uliyeafanikiwa....watu hujiachia sana kwa undugu tena wa mbali.....Umewahi jiuliza mtu akianza maisha familia fulanifulani tena iwa na vyumba viwili tuu ..anaweza kuwa na rundo kubwa kiasi gani la watu wanaomtegemea kuwapa kazi ktk office na kuwalisha....hiyo tuu inawakata miguu nyumbani..na inawafanya mjazane vibaya..hivi NSSF na udini wake ingekuwa ni ukabila wa wachaga sijui km msingeanzisha vita...


Pombe hizi, Pombe mbaya sana na hasa hii ya viroba na ile Pombe ya Dr. Slaa
 
Hawo waoza meno na chama lao la chagadema a.k.a chadomo a.k.a chopa 3 kata tatu labda watawale kwaanzia same mpaka stendi za vifodi arusha
 
Yale ya TFF na wahaya yaliishaje. Na NSSF na udini (uislamu); NIC na ukusini ? Haya mambo yapo kwenye taasisi nyingi sana. Ni mara chache sana top wa taasisi kuepuka ama kuwa mdini au mkabila? Fuatilia hata baadhi ya uteuzi wa Raisi!!!
 
Hawo waoza meno na chama lao la chagadema a.k.a chadomo a.k.a chopa 3 kata tatu labda watawale kwaanzia same mpaka stendi za vifodi arusha
Kweli dini yenu haina haramu ya kweli,wala uovu wa kwali,zinaa ya kweli, wala jehanum ya kudumu......kila kitu ni situational.Nyie ndio pepoe yenu ipo km jehanum..ngono bila break, pombe mbaya, na mashoga wa kutosha.Ila cha kushangaza mungu wenu anasema...mke mmoja bila ndo, duniani ni dhambi, glass ya bia moja ni dhambi duniani, ushoga ni mbaya duniani,ila alah anawapa wanaume warembo wenye macho mazuri sana.....hiyo ndio mbingu yenu.Ngono bila break wala ndoa, kinywaji km mito.... Sikushangai matusi yako...hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom