Swissport co ltd imejaa vihiyo watupu

Huo ukabila wa swissport hauniumizi kama wa mawizara yetu na taasisi nyingine za serikali mkuu, ni aibu huko, ukimaliza la swiss jaribu kucheki na wizara mbili tatu "utafurahi"

Si masema Kenya ndio tuna ukabila. Sikujua hata Tz upo
 
Unenayo ni kweli tupu. Anaebisha ubaguzi wa wachaga ima atakuwa ni mchaga(hivyo anataka kupotezea) au hajafanya kazi nao. Binafsi nilikuwa ktk shirika ambalo mkurugenzi akuwa mchaga, aisey nilihama kazi. Tulikuwa senior offices kadhaa ambao ndani ya walikuwapo wachaga pia. Upendeleo wa wazi pamoja na baadhi yao kuwa na elimu ya kuungaunga. Kila decision iliyofanyika wao walikuwa wakiijua kabla ya kikao na walikuwa wakijifanya as if ni watabiri. Nilipoona hali inazidi nilimfuata mkurugenzi na kumpa live kwamba afanyavyo sio ethics za mgt.akanijibu "sikuajiriwa pale kwenda kutengua injili ila kuitukuza injili". Nikamjibu nimekuelewa mkurugenzi. Baada ya mwezi akashangaa barua ya kuhama shirika akaniita yy na kufanya mahojiano. Nikamjibu naenda kuitukuza injili kwingine. Kwa kifupi hawa ndugu naweza sema ndio pekee waliobaki ambao upendeleo wa kikabila umebaki damuni mwao. Wale rafiki zangu wa mbeya wamebadilika na wa kule nshomile pia wanabadilika kdgo japo si sana. Naamini hata mabadiliko yaliopo uchagani ni matokeo ta kubebana huku ambako kwa muda mrefu hakukuwa na uwazi wa kuexpose uozo kama hivi hali iliyowafanya wajazane kwenye mashirika kwa upendeleo na kupata mishahara minono ya kusomesha watoto wao kwenye shule nzuri na kujenga magofu matupu kule uchagani. God iz great kila mmoja sasa anaelewa kwamba hawa jamaa kwao utanzania ni sifa ya pili baada ya uchaga.plz wachaga badilikeni Tanzania ya leo imebadilija sana vinginevyo mtaanza kuiona nchi ngumu kwenu.

No kweli hawa jamaa wanaweza kuwa na matatizo,ila mimi naenda mbele kidogo,tusitegemee wafanye tofauti kwani sisi tuliwatenga wachaga na baada ya Mkapa tumewatoa kila mahali tukawafanya watoto wa kambo sasa wanajihami.
Tena nasikia Luna harambee ya kuchanga mabilioni ya elimu kwao,na hawa jamaa wakjjipanga hat a trilioni wanapata,kazi tunayo
 
Hahahah nimefanya kazi swissport nikiwa field kwa miezi kama sita hivi vyooote visemavyo hapo juu ni kweli kabsaaaaa,nadhani wanahitaji mabadiliko na uongozi bora

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hahaha mpwa wale awatoki wanakula shekeli na maboc wa juu ni hatari CEO MIAKA 25 ASSISTANT WAKE 20YS KAZINI KUNA KDHUYO KAMA KUMI KUNA KK HUYU ALIKUWA NA MIAKA 23 AKASTAFU KAPEWA MWINGNE MIEZ 6 AKAANZA!!!

UONGOZI KAMA HUU UTAMINI CHAMA CHA WAFANYAKAZI COTWU AKINA ACC ZINAENDA KWENYE ACC YA MWENYEKITI WAMEKAA KIMYA
 
Ukianza kujadili ubaguzi na ubinafsi unaofanywa na wachaga hapa tanzania,inaniwia vigumu sana kuunga mkono cdm.Watu hawa wanasifiwa kwa maendeleo na ujenzi wa makazi huko kwao lakin yanayofanyika nyuma yake yanatisha! wananunua nafasi za kazi,wananunua vyeti na kueneza ukabila kwa kuficha majina ya koo zao (kwa mnao fanyakazi,tafiti wale wenye jina la kwanza na la pili ya kizungu wanatoka kabila gani?).Natoa mifano halisi: itaendelea********
Acheni ujinga..vilaza ni nyie hata kuburgain mshahara hamjui ktk soko huria....kwani ahta mtu wa darasa la nne akiweza waaambia wliopo ktk jopo kuwa bila hela fulani hafanyi kazi, na akawashawishi kuwa anaweza piga mzigo haswa , wakati nyie ndio wale mpo tayari kufanya kazi under pressure, sijui mnajua business skills wakat hamtaraji kufanya kazi zaidi ya kubebe mzigo....nani mjinga. Nimefanya kzi na wajinga wengi tuu,wengi walikuwa akinichukia ktk kazi kwa vile nachukua msahahara mkubwa kuliko wao ,wakati niliwakuta,na kazi zangu npiga muda mfupi sana ,huku nikiwa nimefanya zaidi ya majukumu yangu,muda uliobaki napiga issue zangu. Kuja chunguza majinga yote yalikuwa yakifanya makosa ,na kujilainisha kwa waajiri wao kiasi cha kumfanya mwajiri akose cha kufanya zaidi ya kumweka ktk daraja la mwisho au kumtoa kazini. WEHU NYIE MTAKUWA WTAUMWA HADI MWISHO..KM NDIO NYIE MNAOKWENDA KWA BOSS MUONGEZEWE MISHAHARA HALAFU AKIWAULIZA MUONGEZEWE HADI WAPI MNAANZA WEWE ANAGLIA TUU, HUKU MKITAJA MATATIZO LULUKI..SIJUI NINA WATOTO 7,MAMA MZEE, BABA ALIYESTAAFU NA KUMALIZA MAFAO, SIJUI NANI NA NANI ANANITEGEMEA, HAPO HAPO UNAKIMBILIA ADVANCE..SASA NANI ABEBE SHIDA ZAKO...KWANZA SHIDA ZAKO ZINAONYESHA ULIVYO DESPERATE ..NA HUNA PA KWENDA KWANINI AKUONGEZE MSHAHARA..KWANZA NYIE NDIO MNAENDEKEZA POLITICS ZA MAKAZINI..HAKUNA MWAJIRI MWENYE URAFIKI NA POLITICS ZA KAZI.
 
Halafu kwa maneno haya unategemea Chadema wapewe nchi?
kwani CDM ndio wanahusika kufukuza vilaza kazini,au kuongeza superiority ya wachaga..?kwani CDM ndio wanaonunua ardhi zenu na kuwapa wachaga,kwani CDM ndio wanaowadanganya muwauzie wachaga mazao kwa beis chee, kwnai CDM ndio wanawatongoza mkope kwa mangi hadi muweke rehani wake,zenu,mama zenu ,dada zenu na familia kwa ujumla..? Mtapotea sana siku zote....kwa ujinga huu sijui km mtakaa muweze diagnose shida mlizo nazo.....i..d...i....o....t...s.
 
mbona kwa serikali hii ukiwa musilam na vyeti vya yudom au pale moro kwenye transormer au ukiwa mwanafunzi wa bashiru..? wapuuzi wengi hawasemi hilo....hata wanywa bia tuu hupeana dili wao kwa wao wakimpiga chini mnywa soda hata km ni close nao.
 
Sawa mkuu nashukuru kwa kutunikwa hicho cheo cha kuwa i.d.i.o.t sababu sio mchaga. Ni kweli mimi ni kyasaka. Lakini kwa mtaji huo utwa-cost Chadema
 
Sawa mkuu nashukuru kwa kutunikwa hicho cheo cha kuwa i.d.i.o.t sababu sio mchaga. Ni kweli mimi ni kyasaka. Lakini kwa mtaji huo utwa-cost Chadema
Nyie ni vinyamburi tuu..kila kitu kinaonyesha hakuna makosa... Mpuuzi wewe sasa una blackmail CDM kwa lipi.......CDM inahusika vipi na kulaaniwa kwenu..wavivu na wajinga wakuu?km vitu vidogo vinawauza kirahisi hivyo in a long run CDM wawasaidie nini? Wehu nyie tembei na walio na macho ili muone njia,kutwa mnatukuza kutembea na vipofu mkidhani mnawkaomoa wenye macho.Lini kipofu akamwuongoza kipofu? Acheni ubwege..unamtisha nani kuwa nikikupa ukweli ,kmn nionavyo binafsi basi adhabu abebe CDM? Vinyamburi bwana..hata kulala na mkeo utasusia kuikomoa CDM.
 
Nilishaonywa kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga nikakataa may be I was in denial...........sasa nimeamini ni kweli
 
Mmnenyimwa kusoma kama wachaga

wenzenu harambe za elimu wanachang

bilion

nyie mnahci kuibiana kwanini wasiajiriwe

shuletkwanza ukabila baada
kama wanaingza wenye elimu zao ruksa
 
minga mengi sana ktk hii nchi..kila siku ktk inverview naona mijinga hadi kugawa uroda ipo tayari,mingine ipo tayari toa mshahara wa miezi miwili ili wapate kazi halafu mkija hapa mnalaumu wachaga..wehu nyie mtauzwa km nguruwe tena mara nyingi km viwanja vya manispaa
 
Ahaa! sijapata ona kabila MAARUFU Tanzania kama Wachaga. Hakuna asiyelitaja hata awe mtoto wa vidudu analijua. Ni kama Waisraeli walivyo huko mashariki ya kati. Shukrani kwa wote wanaoPromote wachaga kwa Heri na Shari mkisahau Origin zenu. Utashangaa hata pasipowahusu wanahusishwa
 
mbona kwa serikali hii ukiwa musilam na vyeti vya yudom au pale moro kwenye transormer au ukiwa mwanafunzi wa bashiru..? wapuuzi wengi hawasemi hilo....hata wanywa bia tuu hupeana dili wao kwa wao wakimpiga chini mnywa soda hata km ni close nao.

Mkuu wametajwa Wachagga na Chadema ndogo yote imekuwasha hadi au unataka Tango? Kwanini usingesema Tumaini kanisa
 
AL SHARPTON utakuwa umetoka mojawapo ya makabila ambayo yameshapoteza maadili..Makabila mabayo watoto ndio wanafundisha wazee maadili.Ndio maana unaendeshwa kwa hofu...kwa vile huoni njia na hutaki itafuta, kwa vile unalinganisha wengine kwa mkabila hadi unaogopa . Wehu nyie,wachaga si ndio miaka mingi mmewawekea kampeni ya kuwaondoa na kuwazuia kila mahali..vipi imewashida..sasa mnajiona nyie ndio mmepigwa ban na si nyie ndio mmewapiga ban? Tumieni akili ndogo tuu..kuwa mnawahitaji wachaga kuliko mnavyodhani..ni bora mkawatumia kuliko kijiadhibu mkidani mnawaadhibi. Wachag walishavuka hiyo stage... fools...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom