@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Hahahahaaaa Bishanga babu wapi aisee huyo ndio kijogoo mwenyewe ukimuita babu anakumaliza na ukijifanya unamsalimia eti Shikamoo Mzee Bishanga utasikia Asanteee badala ya Marahaba Lol
Kifupi ndio Fataki Msaidizi wa Asprin
Wanajifanya wanalea wajukuu lol hakuna kitu
nashukuru kwa kunielewesha erickb52, sasa babu ni nani?, DC peke yake?? DC ye halei wajukuu??
 
nakwambia MUNGU akiamua kukueleleza mtu unaumbuka vibaya sana! uncle wangu alipata accident pale mbuyuni kunduchi akiwa na hawara yake, eti ametokea workshop bahari beach. watu walivyokuja kuwasaidia, ye anasisitiza tu wapelekwe hospitali tofauti, watu wakawapeleka hospitali moja. kesho yake sasa mkewe kaamkia hospital, anaambiwa na doctor, yule baba kidogo ana afadhali, ila mkewe kwa kweli hali c nzuri! mke wake alitaka na kumsusa kabisa! yaani huu uongo huu, haya mambo yapo!

Hahahahahahaha.........hii inaitwa za mwizi 40 lol.....aliumbukaje huyo mbaba?
 
nakwambia MUNGU akiamua kukueleleza mtu unaumbuka vibaya sana! uncle wangu alipata accident pale mbuyuni kunduchi akiwa na hawara yake, eti ametokea workshop bahari beach. watu walivyokuja kuwasaidia, ye anasisitiza tu wapelekwe hospitali tofauti, watu wakawapeleka hospitali moja. kesho yake sasa mkewe kaamkia hospital, anaambiwa na doctor, yule baba kidogo ana afadhali, ila mkewe kwa kweli hali c nzuri! mke wake alitaka na kumsusa kabisa! yaani huu uongo huu, haya mambo yapo!
Hahahahaaaaa CUTE umeua lol
Huyo uncle wako ni noma na alijua hilo ndio maana akataka kulikwepa
Dah nimecheka ingawa inasikitisha Lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom