@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Hahahahaaaaa na ulivyonisave Mzoa Taka wakati mi ni Fundi Bomba MUNGU ANAKUONA

Hahahahahaha......ila kumsave mwenzio mzoa taka ni udhalilishaji eeh.....sina mbavu walah tena......bora mie fundi cherehani maeneo ya soko kuu lol.
 
uwiiiiiiii erickb52 hii tena issue! lolest ila nimependa mzee cacico ipo pouwa! sitakaa nishtukiwe, maana na sisi huwa tunapanic mbaya! ila kajisemea preta wallah MUNGU anaona haya yote, kha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom