@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Ilikuwa ni mida ya Jioni nikiwa home,simu yangu ikiwa kwenye charge ikawa inaita na kwa kuwa bibie alikuwa karibu akaamua kuifuata akaichukua ili aniletee lol
Kucheck jina la anayepiga ni SweetLady akabadilika ghafla kumbe nina Sweetie mwingine..nimejieleza ila ngumu kumeza!
Baada ya hapo nikaamua kubadili majina ya wana JF nilionao kama ifuatavyo:
.. sweetlady -Fundi Cherehani ingawa sishonagi sijui ntakamatwa tena lol
.. Amyner -Bado natafakari nitamsave vipi nikipata jina ntawaambia
.. beibe nasty -Shem Mapepe
.. charminglady - Boss wangu,
.. FirstLady1 - Private Number
.. Cantalisia - Afande Canta,
.. Kipipi - Battery Low,
.. BADILI TABIA -Sijabadili Jina lake coz si mbaya sana
.. Kongosho -Muuza Bucha,
.. Preta - Promota,
.. cacico -Mzee Cacico,
.. YNNAH -Bibi Afya,
. Remmy -Prof UDSM
Kwa wanaume sijabadili coz hawana madhara sana
Wenye majina hayo naomba mnisamehe ni katika kulinda ndoa yangu siunajua
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaha na ukirudi homw leo lazima pachimbike, utamwambia huyo sweetlady ni nani.....
Hahahahaaaa yani kuna kazi na nyinyi huwa hamuelewi mapema....!
Ila nimeamua kwenda town kumchagulia kakitu kazuriiiii kamkumpoza sasa sijui nimchukulie nini kitakachomtoa tabasamu...
Hebu nishauri BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa yani kuna kazi na nyinyi huwa hamuelewi mapema....!
Ila nimeamua kwenda town kumchagulia kakitu kazuriiiii kamkumpoza sasa sijui nimchukulie nini kitakachomtoa tabasamu...
Hebu nishauri BADILI TABIA

Kiherehere chako cha kusave jina zima kwani ulishindwa nini kusave SL?.....hata na wewe ulikuwa na lako jambo.....sasa unataka BT akuchagulie zawadi ya mkeo lol kazi unayo!
 
Kiherehere chako cha kusave jina zima kwani ulishindwa nini kusave SL?.....hata na wewe ulikuwa na lako jambo.....sasa unataka BT akuchagulie zawadi ya mkeo lol kazi unayo!
Heheheheheeee we tuache tupange mambo yakae sawa....!
Tatizo lako unataka kuharibu mazima
Lol huna hata huruma...nikiachwa mwenyewe nahamia kwako oooooh
 
Heheheheheeee we tuache tupange mambo yakae sawa....!
Tatizo lako unataka kuharibu mazima
Lol huna hata huruma...nikiachwa mwenyewe nahamia kwako oooooh

Hehehehe......naomba Mungu uachike manake hata hivyo nilikuwa nahitaji mlinzi hapa nyumbani......karibu sana!
 
Hehehehe......naomba Mungu uachike manake hata hivyo nilikuwa nahitaji mlinzi hapa nyumbani......karibu sana!
Hahahahaaaa
Ntakuwa nalinda ila nalala kwenye chumba cha Boss wangu sweetlady
Dah ntakuwa nakula good time sana hadi nasahau kazi yangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom