BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Basi m'bichwa huo unaompa kama nauona vile ! Lakini mwambie achanganye na za Mbayuwayu !
Judge tafadhali...lol
Basi m'bichwa huo unaompa kama nauona vile ! Lakini mwambie achanganye na za Mbayuwayu !
Hahahahaaaa hapa umeshemsha kwanza kuua mende ndio ujanja??ricky ricky ricky!..ohooo...
mara ya mwisho nimeua nikiwa 4m 2...sitaki historia irudie...LOL
Hahahahaaaa hapa umeshemsha kwanza kuua mende ndio ujanja??
kwangu huwezi wewe....
hahahaaa
Si wanaume wote wenye dharau na ukimwona mwanaume anamdharau mwanamke basi ujue anahitilafu katika fikra zake.
Nasema hivyo kwa maana hii:
MWANAUME KAZALIWA NA MAMA YAKE ambaye ni mwanamke,
kama mwanaume huyu atamdharau mwanamke basi moja kwa moja atakua amemdharau pia na mama yake.
Teh anzisha wetu wenyewehebu tuache kuchakachua nyuzi za watu asee...duh
Inawezekana niko pa1 nawe lakn hata mw/mke pia kazaliwa na mwanaume! tena hata yule mwanamke wa kwanza aliumbwa kutokana na ubavu wa mwanaume ingawa hicho c kibali cha kuwadharau wanawake!